Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
Asante ila pole kama Valentine wako ni mmoja. Mie ni wote hata wasionipenda mi nawapenda tu.
Habari zenu wana MMU!!!!!!
Napenda kuwatakia wote siku njema na yenye mafanikio,
tulilinde na kulitunza penzi letu vyema, kwa wale wenye ndoa na wasio na ndoa,
tuwe waaminifu katika mapenzi yetu, uvumilivu udumu na tongeze mapenzi maradufu
Upendo uwe ishara njema kati yetu.
View attachment 83118
Pia ningependa kuomba msamaha kwa yoyote yule niliyemkwaza,
Either kwa comment zangu/ thread zangu nilizopost
especial lara 1 maana tumekua tukikwazana mara kwa mara,
tusameheane ili tuishi vyema, tutoe tofauti zetu ili tuweze kusonga mbele
kwani kwa pamoja tutafika mbali.
View attachment 83115
HAPPY VALENTINE DAY
Thanks, Hope to make a good day with my Valentines
oooh thanks muuuch Saudari,, happy valentine to youuuu!!!
Aksanteh sana mkuu....na kwako pia
Kumbe mkuu saudari umstaarabu kiasi hiko! safi sana.
Asante sana maaana umetutumia salamu wote, hukuwa na ubaguzi wala nini. HAPPY VALENTINE
asante na wewe pia.
uwe na mapendo siku zote za maisha yako...uyafurahie!!!
Mkuu saudari have a great Valentine with your loved ones and enemies too.
Thanks for the greetings.