Have a nice day with your dear valentine.
Ahsante sana saudari .God bless you.Mie hujanikwaza
Pamoja sana!Kama sijakukwaza nashukuru, ila tusifichane endapo nitakukwaza just niPM unijulisha maana sisis sote ni binaadamu, huwa muda mwingine tunateleza bila kujijua hivyo usisite kunijulisha kwani kinyongo/ kuwekeana visasi sio vizuri.
All in all have a nice day.
Mpwa Valentine wangu hayupo bhana, leo ntashinda humu humu JF, wote ni Valentine wangu....have a blessed day
Nashukuru, naamini Mungu
atatulinda katika njia tupitazo ili tusiweze kumkwaza kwa njia yoyote
ile.