ESCROW: Werema anamjua "Bwana Mkubwa" anayeijua ESCROW

MdogoWenu

JF-Expert Member
Dec 23, 2009
294
250
SOURCE: NIPASHE, November 23, 2014Kwenye front page ya gazeti hilo linaeleza kikao cha wabunge wa CCM ambao walishinikiza Jaji Werema ajiuzuru kwa uzembe wake wa kuidhinisha malipo ya ESCROW.Yeye aliwakatalia kwamba hatajiuzuru kwa sababu suala la ESCROW hata "bwana mkubwa analijua".Je, alikuwa na maana gani?
 
Kamanda Kazi

JF-Expert Member
Dec 15, 2012
2,617
1,225
Ina maana wewe humjui mkuu wa kaya? Bwana mkubwa analijua maana yake ana mkono na yeye!
 
tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
16,135
2,000
SOURCE: NIPASHE, November 23, 2014Kwenye front page ya gazeti hilo linaeleza kikao cha wabunge wa CCM ambao walishinikiza Jaji Werema ajiuzuru kwa uzembe wake wa kuidhinisha malipo ya ESCROW.Yeye aliwakatalia kwamba hatajiuzuru kwa sababu suala la ESCROW hata "bwana mkubwa analijua".Je, alikuwa na maana gani?
bwana mkubwa=JK. naye alichota noti za escrow
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,167
2,000
SOURCE: NIPASHE, November 23, 2014Kwenye front page ya gazeti hilo linaeleza kikao cha wabunge wa CCM ambao walishinikiza Jaji Werema ajiuzuru kwa uzembe wake wa kuidhinisha malipo ya ESCROW.Yeye aliwakatalia kwamba hatajiuzuru kwa sababu suala la ESCROW hata "bwana mkubwa analijua".Je, alikuwa na maana gani?
According to Tundu Lissu, Bwana Shaaban Gurumo wa Ikulu amechota 800Mil za ESCROW, unajua zimekwenda wapi??
 
Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
13,943

Fuatilia kauli ya Mwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe,pale bungeni kuwa namna pesa ya Escrow zilivyokwapuliwa, isingewezekana kwa hali yoyote dili la aina ile kufanyika kwenye nchi yeyote yenye serikali, ambayo ina vyombo vya ulinzi na usalama. Akaendelea kusema kuwa wizi wa aina hiyo ungeweza kufanyika tu kwenye nchi zisizo na serikali, kama vile Somalia!

Akaendelea kusema kuwa kwa namna zile shilingi bilioni 73 zilivyokuwa zinasombwa na viroba na magunia ya lumbesa, pale Stanbic kwa siku 2 mfululizo, ni kama vyombo vyote vya ulinzi na usalama vilishikwa na ganzi au vlijiendea kabisa likizo!

Kwa tafsiri ya haraka haraka ya maelezo hayo, na kwa jinsi Tundu Lissu, alivyounganisha dots na kutiririsha nyadhifa alizokuwa nazo mkuu wa kaya, tokea IPTL iingie nchini mwaka 1994, vile vile ukizingatia kiburi cha hali ya juu, kilichoonyeshwa na kina Muhongo za kukataa kabisa kujiuzulu kutokana na kashfa hiyo,unakuwa umepata ushahidi beyond reasonable doubts kuwa the highest office in our country, ina 'mkono' wake, kwenye huo ukwapuaji mkubwa wa Escrow, ambao haujawahi kutokea katika historia ya nchi hii, tokea nchi yetu ipate uhuru wake mwaka 1961!!
 
Kimilidzo

JF-Expert Member
Jan 3, 2011
1,346
1,225
Albert Marwa amemuoa Salama Kikwete, Salama anamiliki Simba Trust, Simba Trust inamiliki 50% ya PAP, PAP ililipwa 70% ya hela za Escrow kupitia Stanbic bank na Albert Marwa ndio aliyeenda na malumbesa kubeba cash 73 bilioni. Jiongeze
 
Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
25,515

Ngoja niongezee! Albert alitaka kumuoa Salama JK, posa ikakataliwa na JK for religious grounds!
Albert akaona isiwe shida, akamdundika mimba salama, sina kumbu kumbu za ndoa kt ya Wawili hawa!
Albert ndio mfadhili wa radio 1 ya kiislam, hii ni ktk jitihada zake za kujiekea mazingira sahihi ya kukubalika ktk mlengo wa wasafi!
Sijui kwa sasa, lkn Albert alimpangishia "mkewe" ghorofa ktk lile jengo refu pale kona ya kuingia Muhimbili, ambalo chini kuna supermarket ya .....!
 
Kwamhuzi

JF-Expert Member
Nov 15, 2014
1,766
1,250
Katika mifumo ya kitapeli tuliyo nayo leo ya ki-bank,sio lazima upitie kwenye formal banking procedures if there is something to hide ndio uchukue fedha.Anything is possible.Kwahiyo kutokuwepo kwa jina la mtu haina maana kwamba hajachukua.
According to Tundu Lissu, Bwana Shaaban Gurumo wa Ikulu amechota 800Mil za ESCROW, unajua zimekwenda wapi??
 
gollocko

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
2,950
2,000
SOURCE: NIPASHE, November 23, 2014Kwenye front page ya gazeti hilo linaeleza kikao cha wabunge wa CCM ambao walishinikiza Jaji Werema ajiuzuru kwa uzembe wake wa kuidhinisha malipo ya ESCROW.Yeye aliwakatalia kwamba hatajiuzuru kwa sababu suala la ESCROW hata "bwana mkubwa analijua".Je, alikuwa na maana gani?
Maana yake na mkulu pale magogoni yupo! Ila aangalie sana kucha, meno na hata roho yake vinahusika hapa.
 
Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
7,123
2,000
Fuatilia kauli ya Mwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe,pale bungeni kuwa namna pesa ya Escrow zilivyokwapuliwa, isingewezekana kwa hali yoyote dili la aina ile kufanyika kwenye nchi yeyote yenye serikali, ambayo ina vyombo vya ulinzi na usalama. Akaendelea kusema kuwa wizi wa aina hiyo ungeweza kufanyika tu kwenye nchi zisizo na serikali, kama vile Somalia!

Akaendelea kusema kuwa kwa namna zile shilingi bilioni 73 zilivyokuwa zinasombwa na viroba na magunia ya lumbesa, pale Stanbic kwa siku 2 mfululizo, ni kama vyombo vyote vya ulinzi na usalama vilishikwa na ganzi au vlijiendea kabisa likizo!

Kwa tafsiri ya haraka haraka ya maelezo hayo, na kwa jinsi Tundu Lissu, alivyounganisha dots na kutiririsha nyadhifa alizokuwa nazo mkuu wa kaya, tokea IPTL iingie nchini mwaka 1994, vile vile ukizingatia kiburi cha hali ya juu, kilichoonyeshwa na kina Muhongo za kukataa kabisa kujiuzulu kutokana na kashfa hiyo,unakuwa umepata ushahidi beyond reasonable doubts kuwa the highest office in our country, ina 'mkono' wake, kwenye huo ukwapuaji mkubwa wa Escrow, ambao haujawahi kutokea katika historia ya nchi hii, tokea nchi yetu ipate uhuru wake mwaka 1961!!
Je , hii inaweza kuwa ndio chanzo cha kigugumizi cha "Bwana Mkubwa" kuliongelea swala hili?
 
BONGE BONGE

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
3,712
2,000
According to Tundu Lissu, Bwana Shaaban Gurumo wa Ikulu amechota 800Mil za ESCROW, unajua zimekwenda wapi??
..................haiwezekani fedha hii ni ndogo sana kwa ajili ya bwana mkubwa, watoto 3 wa Ruge walipata emu 800 kila moja, hii ni dharau kwa mkuu wa kaya...

Huyu alipokea kwa niaba ya "bwana mkubwa"
.........nani, Shabaani siyo!!!!!

Albert Marwa amemuoa Salama Kikwete, Salama anamiliki Simba Trust, Simba Trust inamiliki 50% ya PAP, PAP ililipwa 70% ya hela za Escrow kupitia Stanbic bank na Albert Marwa ndio aliyeenda na malumbesa kubeba cash 73 bilioni. Jiongeze
........mimi hujanishawishi, hizo hela zote anapeleka wapi!!!! naomba ufafanuzi penye red usipojali tafadhali
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom