Samedi Amba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 227
- 178
Habari za asubuhi wadau,
Nilitaka kujua kama kuna service ya Escrow payment nchini. Inayofanya kazi hivi:
1. nimeona kifaa Kupatana nikakipenda. Labda fridge used
2. Nikamcontact muuzaji
3. Kwa sababu sijui status ya fridge, nacontact kampuni ya escrow (tuwaite Escrow TZ). Nawalipa hela ambayo ndio thamani ya fridge
4. Muuzaji anadeliver fridge, baada ya kupata confirmation kuwa nimelipa hela yote ambayo ni thamani ya fridge (anakuwa notified appropriately). Tunakubaliana warranty period ya kutest, sema siku 3.
5. Natest fridge kuhakikisha kuwa inafanya kazi vizuri.
6. Nikiridhika, nacontact Escrow TZ wanarelease mpunga.
Similar to http://www.escrowafrica.co.ke/
#Nawasilisha