ESCROW: Serikali kulifungia gazeti la CITIZEN wiki Ijayo

HNIC

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
1,898
Reaction score
2,202
Serikali ya NDUGU Kikwete imeamua kuwa wiki Ijayo italifungia kwa muda usiojulikana gazeti ambalo linaoongoza kwa kufanya investigative journalim hapa Tanzania, THE CITIZEN

Nadhani wote mnakumbuka kuwa gazeti hili limekuwa likitoa data mbali mbali kuhusu hii sekendo na zinginezo na kilichowaudhi serikali ni baada ya kuona kuwa gazeti hili husomwa sana na watu walio serious na hususana mabalozi ambao hulitumia kama point of reference wanapokutana na WATAWALA WETU.

Pia mleta habari toka ndani kabisa anasema kuwa CITIZEN tayari wanazo nyaraka zote zenye majina na akaunti za ndani na nje zinazohusu viongozi mbali mbali wa serkali ya NDUGU kikwete kuhusika kwenye skendo zifuatazo:

1. BOMBA LA GESI MTWARA

2. UINGIZWAJI WA SUKARI

3. RELI YA KATI

4. UINGIZWAJI WA MADAWA

5. UINGIZWAJI WA SEMENTI

6. SILAHA ZA JESHI

7. UKWELI KUHUSU WANAJESHI WETU KUPELEKWA CONGO

8. UUZWAJI WA PEMBE ZA NDOVU CHINA

9. INLAND CONTAINER DEPORT AMBAYO INA SHEHENA ZA UNGA

10. WIZI WA PESA WIZARA YA MAMBO YA NJE

11. RUSHWA WA MABILIONI KWENYE KUTOA VITALU VYA GESI

Nadhani mnajua kuwa gazeti mama la CITIZEN (THE EAST AFRICAN) limefungiwa na sasa serikali inahaha kuhakikisha kuwa CITIZEN nalo linakwenda na maji.

B5hk9QjIQAAp-tK.jpg:large
 
Mkuu HNIC, hebu mpe mkuu wetu heshima yake, sio ndugu ni Profesa. Basi andika japo daktari
 
IIngawa siziamini habari hizo, lakini kama ni kweli, basi jk atakuwa ameiua kabisa ccm yake.
 
kikwete alipolifungia ----------- alidhani kamaliza,mwishowe atalifungia hadi uhuru siku wakimuandika ndugu kikwete badala ya dokta profesa kikwete..ajiandae kulifungia na mawio,kubenea katokea mlango mwingine..
 
Serikali ya NDUGU Kikwete imeamua kuwa wiki Ijayo italifungia kwa muda usiojulikana gazeti ambalo linaoongoza kwa kufanya investigative journalim hapa Tanzania, THE CITIZEN

Mkuu HNIC, hebu mpe mkuu wetu heshima yake, sio ndugu ni Profesa. Basi andika japo daktari

You can't demand respect - you earn it.
Wa kuheshimiwa atakuwa huyo dhaifu?! Phew!!
 
Itabdi tuangalie hata maana ya jina Kikwete maana inaweza kuwa ni laana. Hatuwezi kuwa na rais kigeugeu,muoga,aliyegeuza ikulu kama SACCOS ya WAMA,mpiga dili,mzururaji kama huyu Jk na uprof wa kudandia. Hovyo kabisa
 
uwajibikaji ndio msingi wa demokrasia Tanzania na cheo nidhamna hongera Prof. MHONGO japo inaonesha kama umelazimishwa...
 
kweli hii serikali sasa haijielewi inafanya mauzauza wamalize mda wao wakapumzike wote wakohoi
 
Serikali ya NDUGU Kikwete imeamua kuwa wiki Ijayo italifungia kwa muda usiojulikana gazeti ambalo linaoongoza kwa kufanya investigative journalim hapa Tanzania, THE CITIZEN

Nadhani wote mnakumbuka kuwa gazeti hili limekuwa likitoa data mbali mbali kuhusu hii sekendo na zinginezo na kilichowaudhi serikali ni baada ya kuona kuwa gazeti hili husomwa sana na watu walio serious na hususana mabalozi ambao hulitumia kama point of reference wanapokutana na WATAWALA WETU.

Pia mleta habari toka ndani kabisa anasema kuwa CITIZEN tayari wanazo nyaraka zote zenye majina na akaunti za ndani na nje zinazohusu viongozi mbali mbali wa serkali ya NDUGU kikwete kuhusika kwenye skendo zifuatazo:

1. BOMBA LA GESI MTWARA

2. UINGIZWAJI WA SUKARI

3. RELI YA KATI

4. UINGIZWAJI WA MADAWA

5. UINGIZWAJI WA SEMENTI

6. SILAHA ZA JESHI

7. UKWELI KUHUSU WANAJESHI WETU KUPELEKWA CONGO

8. UUZWAJI WA PEMBE ZA NDOVU CHINA

9. INLAND CONTAINER DEPORT AMBAYO INA SHEHENA ZA UNGA

10. WIZI WA PESA WIZARA YA MAMBO YA NJE

11. RUSHWA WA MABILIONI KWENYE KUTOA VITALU VYA GESI

Nadhani mnajua kuwa gazeti mama la CITIZEN (THE EAST AFRICAN) limefungiwa na sasa serikali inahaha kuhakikisha kuwa CITIZEN nalo linakwenda na maji.

B5hk9QjIQAAp-tK.jpg:large

Naishauri serikali wafunge vyombo vyote vya habari binafsi; all print and electronic media including social media vibakie vya serikali na chama Lao CCM, lakini wajue tutatumia a third way kuyaibua maovu Yao na kuwaumbua mbele ya wananchi.

.
 
Back
Top Bottom