Escrow saga: Waingereza wanavyotukejeli!!

Escrow saga: Waingereza wanavyotukejeli!!

kuchekwa kuna sababu, huwezi kuchekwa kama wewe sio kichekesho la sivyo mchekaji atakua mchekwa
 
Kwa hili la escrow tuna kila haki ya kudhihakiwa vyovyote inavyopaswa, tumekuwa hovyo sana katika maamuzi wezi wznzbebwa? Bado hilo tusi halijatosha wangewaweka kina matonya kabisa hapo kuliko hao watu wenye shuguli zao wakikatiza mitaani.
 
Wazungu wapumbavu sana...wameenda kupiga picha Tandale afu ndo wanasema busy street......Solution hapa ni kuacha kutegemea misaada ya wazungu,...wanatudharau sana hawa

Sasa na wewe ungeanza kwa kubadili hiyo Avatar yako naiona kama ni ya kizungu zaidi.
 
Sasa na wewe ungeanza kwa kubadili hiyo Avatar yako naiona kama ni ya kizungu zaidi.

Yaani hiyo picha ni sehemu nyingi tu za Dar zipo namna hiyo, chijui wabongo wanalalamika nini wakati miundo mbinu yetu ndiyo hiyo 98% ya nchi yetu ndio miundo mbinu yake. Halafu mnalalamika chenji yote ya kodi wanawaachia kina JK, EL etc wanachota bila aibu Wacha waseme ukweli. Wameua shirika la simu na kuunda mashirika yao ya kuwakamua zaidi wabongo, hawataki Tanesco ifanye kazi yake bali inunue kutoka kwa makuwadi wao, hawataki shirika la reli lifanye kazi yake bali wawape mabwana zao wawakamue zaidi wabongo. Next .... ...
 
Aisseeeeee..granta ulitaka kunitukana mimi...basi tusi lako mwenyewe....
Teh teh teh nimetaka kukutukana nikakumbuka ban nisijepitwa na update za jf maana umeme haueleweki...
 
Unajua hapo makini hasa ktk mikataba hii mikubwa mikubwa kwani asilimia kubwa imejaa rushwa, unapochekwa yabidi ubadilike na pia tuwe wazalendo kwa nchi yetu.
 
Wazungu wapumbavu sana...wameenda kupiga picha Tandale afu ndo wanasema busy street......Solution hapa ni kuacha kutegemea misaada ya wazungu,...wanatudharau sana hawa
Acha tu watudharau tena kama waliangalia na mwenendo wa bunge letu watakua wametuondolea hata ile heshina kidogo iliyokuwepo.
 
Taifa lenye ombwe la uomgozi uwa lina matatizo kila sector kila upande,Elimu Shida,Afya shida,Umeme kila siku unakatika bila hata taarifa Uwezo wa viongozi wa kufikiri vyanzo vya mapato ni kuweka parking fees hata katika mitaa midogo midogo
 
Back
Top Bottom