Escrow high school?

Escrow high school?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Wabongo washaanza 1379918_516918885112574_8876254794515868535_n.jpg
 
Ni watoto wa kina nani wanasoma hapa? Ipo mkoa gani? Hahahaha ni Tibaijuka au ya Chenge? :smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
 
hiii shule ipo iringa na wanafunzi wanasoma iliitwa kabla ya sakata....la uvunaji pesa ila mmiliki wa shule hi ni seth boss wa escrow ndio mali yake
 
ipo hivi, pesa yote inarudishwa kiaina sasa kwa kujenga shule badala ya kumpa Mwigulu
 
hiii shule ipo iringa na wanafunzi wanasoma iliitwa kabla ya sakata....la uvunaji pesa ila mmiliki wa shule hi ni seth boss wa escrow ndio mali yake
nasadiki usemayo
 
hiii shule ipo iringa na wanafunzi wanasoma iliitwa kabla ya sakata....la uvunaji pesa ila mmiliki wa shule hi ni seth boss wa escrow ndio mali yake
Seth Mamoto wa Majembe Auction Mart au seth yupi huyo aliyekuwa na hiyo A/C ya Escrow
kweli Tanzania sio niijuayo

Back
Top Bottom