Erythrocyte huyu salary slip aliendaga wapi

Erythrocyte huyu salary slip aliendaga wapi

anthopody

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2024
Posts
262
Reaction score
183
Wale wafia chama CHADEMA akiwemo Erythrocyte na salary slip namuona tu Erythrocyte je huyu Salary slip aliamua kuhama chama au ndio kaamua kwenda na mipango yake binafsi

Erythrocyte binafsi naomba unijuze au ndio chama kilimpoteza
 
Mnataka kumuua?
Hapana,kwenye jf haya majina yana nafasi yake na mzee tupatupa achia kina the bold,hasa kwenye siasa nyie wakongwe niliowajua miaka mingi 1007-2010 kwenye siasa za kujazana chuki,mwamba nimeona dec 13 2024 watu walimuulizia but no his personal reply,kuna maisha nje ya siasa,napenda mijadala ya wakongwe kama ninyi nikiweka hoja mkikaa kimya najua nimewapiga za usoni wakongwe wa siasa za chuki (just joking)
 
Wale wafia chama CHADEMA akiwemo Erythrocyte na salary slip namuona tu Erythrocyte je huyu Salary slip aliamua kuhama chama au ndio kaamua kwenda na mipango yake binafsi

Erythrocyte binafsi naomba unijuze au ndio chama kilimpoteza
Erythrocyte, Salary Slip, Bams, Imhotep, Cute Wife hao wote ni mtu mmoja.
 
Erythro anakula CCM analala CDM.🏃🏃🏃
🥱🥱🥱😆😆😆,siasa ukiichukulia serious utaweka uadui,lkn ukiichulia kama utani wa Simba na Yanga
utaongeza mda wa kuishi ,yakikushinda CDM sisi CCM tunasema karibuni,kwani utakuwa wa kwanza wewe leo hii hata jana,ni kama Morisson leo yupo Yanga jana Simba kesho Simba,shida ukikaza sana wakati upo Simba hata kama ulitoka Yanga watakuzingua tu hata ukirudi Yanga usiweke chuki (that's fair play)
 
Nataka nipambane naye huyu mwamba nivunje vunje hoja zake kwa ushawishi wa hoja bila matusi au kumwaga damu kama walivomwaga damu ya Wangwe
 
Wale wafia chama CHADEMA akiwemo Erythrocyte na salary slip namuona tu Erythrocyte je huyu Salary slip aliamua kuhama chama au ndio kaamua kwenda na mipango yake binafsi

Erythrocyte binafsi naomba unijuze au ndio chama kilimpoteza
Kudanga
 
Back
Top Bottom