Errors in genesis

Tuliza tako sindano iingie

hebu jibu swali wewe sokwe mtu

usipanic unyani ndio asili yenu
baada ya wazungu kutuona waafrika ndio wakasema binadamu wa kwanza alikua nyani kwa ajili ya ujinga watu kama nyinyi

I've determined your stupidity through your logically-unsound premises
beutiful order of nature was once arranged by eternal law of the universe

I guess I'm wasting my time with you harlot!
 
I've determined your stupidity through your logically-unsound premises
beutiful order of nature was once arranged by eternal law of the universe

I guess I'm wasting my time with you harlot!

sokwe mtu hii kitu kaweka nani??

you mean something from nothing
teh teh teh
Utalikuta linakesha kusoma mitabu ya albert na isaack
kisha linalinganisha na biblia

Umeenda kuwasalimia ndugu zako nyani kule porini ?
 
Mkuu umesahau tena kuwa huyu jamaa wanaemuita mungu, aliwaumba adam na hawa wakiwa hawajui jema na baya, lakini tunaona aliwaachia maagizo 😀

Huyu mungu kama yupo atakuwa ana kichaa.
 
Mimi nimewachoka kwa kujitoa kwao ufahamu ndio maana unaona mimi napita tu nikigawa like mkuu.

Lakini sio wakristo tu. Hata uislam nao ni hovyo tu kama wenzao wakristo

na hapo ndipo wanaponichekesha,huyu anadai Allah ndiyo mwenye nguvu zote,na huyu anasema Jehovah ndiyo mwenye nguvu...sasa tuwaelewe vipi?
 
Na mwanzo wa gene?
 
Mkuu umesahau tena kuwa huyu jamaa wanaemuita mungu, aliwaumba adam na hawa wakiwa hawajui jema na baya, lakini tunaona aliwaachia maagizo 😀

Huyu mungu kama yupo atakuwa ana kichaa.

kwa hiyo babu yako ni nyani ?
 
sokwe mtu hii kitu kaweka nani??

you mean something from nothing
teh teh teh
Utalikuta linakesha kusoma mitabu ya albert na isaack
kisha linalinganisha na biblia

Umeenda kuwasalimia ndugu zako nyani kule porini ?

una mengi yakujifunza binti kama umeshindwa hata kudecode hiyo cliches
 
Mimi akija mwehu wa kuniambia ni kwa nini sokwe waliopo kule gombe hawaendelei kubadilika na kuwa wanadamu nitamnunulia ice cream au pipi ya kijiti
 
una mengi yakujifunza binti kama umeshindwa hata kudecode hiyo cliches

Binadamu wa mwanzo alikua nani eti unajibu sokwe mwalimu anaweka pata na ujinga wako unakubali

kweli minyani ngwengwe mna tabu
hujanijibu hata swali moja zaidi ya kukata mauno kama mpo kwenye sherehe na nyani wenzio

Nenda Gombe ukakae na ndugu zako huku tupo binadamu
 
mkuu unajichanganya. na sishangai maana waanzilishi wa hicho unachokiamini walijua makusudi wanafanya nini (kusimama mkono wa kuume wa shetani).

ninaomba kujua wewe unaamini nini katika hiyo mwanzo moja/mbili au bibilia nzima.
Unakuwa unaeleaelea bila kueleweka ili upate mianya mingi ya kusumbua watu. weka msimamo wako kabisa. alafu jifunze kujibu hoja, Nimekupa mfano wa kusimamishwa jua humeruka kutoa jibu.(answering by omission)

1.Je ni makosa ya waandishi lakini ujumbe na reality ni kweli viliumbwa?

2. Unawaamini wanasayansi?? au nusunusu??

3. Wewe unaakili nyingi kuliko Isaac Newton ambaye alikuwa akishinda anakesha na kusoma na kufanya scientific inventions.?????

Soma hapa Newton Labda utamuelewa kuliko sisi wabongo wenzako

COMMENTS OF SIR ISAAC NEWTON ON BIBLE AND ATHIESM

On the Bible:
"I have a fundamental belief in the Bible as the Word of God, written by men who were inspired. I study the Bible daily."
On atheism:
"Atheism is so senseless. When I look at the solar system. I see the earth at the right distance from the sun to receive the proper amounts of heat and light. This did not happen by chance."
 
Mimi akija mwehu wa kuniambia ni kwa nini sokwe waliopo kule gombe hawaendelei kubadilika na kuwa wanadamu nitamnunulia ice cream au pipi ya kijiti

mkuu,mazingira ya sasa sio rafiki kwa "evolution"
pia evolution ni process ya mda mrefu,ni null ndani ya mda mfupi....itakuchukua vizazi takribani kumi kuona ikifanya kazi.
 
Mimi akija mwehu wa kuniambia ni kwa nini sokwe waliopo kule gombe hawaendelei kubadilika na kuwa wanadamu nitamnunulia ice cream au pipi ya kijiti

Yaani hakuna ushahidi wowote kuhusu hiyo kitu still wanaamini katika theory za watu huku wakipinga Maandiko Matakatifu
Hebu liulize hilo nyani eti maembe yametokeaje hapa ulimwenguni ?
 
mkuu,mazingira ya sasa sio rafiki kwa "evolution"
pia evolution ni process ya mda mrefu,ni null ndani ya mda mfupi....itakuchukua vizazi takribani kumi kuona ikifanya kazi.

Umejuaje ??
umefanya uchunguzi lini ??
umethibitishaje ??
je kabla ya kuwapo nyani kulikua na nini hadi akawa nyani ??
Kwanini nyani abadilike awe binadamu kama wewe sio simba au nguruwe??

Chanzo cha wanyama wote ni nini ??

sokwe nijibu haya maswali
 
chanzo cha failure yako mkuu ni hilo jina ulilojipa bila kuwajua hao watu wawili einstain na newton waliaminini nini.

Ukiendelea hivyo utachanganyikiwa,
 
Sasa kama hujaweza hata kuandika utahojije swali lililokuzidi kiakili?

Kajifunze kuandika kwanza haya mengine utayakuta tu dada.
 
Yaani hakuna ushahidi wowote kuhusu hiyo kitu still wanaamini katika theory za watu huku wakipinga Maandiko Matakatifu
Hebu liulize hilo nyani eti maembe yametokeaje hapa ulimwenguni ?

Utakatifu wa kitu unapimwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…