wewe mwenye imani nae naomba umuombe akupe majibu ya mswali haya yaliyoulizwa hapa halafu urudi utujibuungekuwepo wakat dunia inaumbwa ningekuelewa. Kile ambacho unaona kidunia principle kwa mungu ni kinyume ukitaka kujua mwamini na uombe akuonyeshe majib ya maswali yako lakin sio kutumia principle za waumbwa
Ngoja waje uone povu linavyowatoka... hizi imani zilileta false knowledge na kuwafanya watu watumbafu.. the bible is grossly inaccurate and misleading..
we mbishi.Mmea unaweza shindwa kuota kwa kukosa mwanga wa jua siku moja?Ewe kiumbe, na mashabiki wako wanadai tutakujia kwa maneno makavu.Neema ya Mungu iwashukie.
upo sahihi mkuu HOSHEA,dini zilivumbuliwa na wanadamu ambao walikuwa wavivu wa kufikiri
Mvivu wa kufikiri anaposhindwa kuelezea asili ya mwanadamu,atakwambia kuwa Mungu alimuumba
mvivu wa kufikiri anaposhindwa kuelezea chanzo cha maisha,atakwambia kuwa Mungu aliyaumba
yaani kila kitu wana kiattribute kwa mungu kwasababu ya uvivu wao wa kufikiri.
Wewe nadhani ni mpagani hauna dini..huko duniani kama sanamu :eek2:
wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli
hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji
mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"
uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)
sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?
mwanzo 1:9-13
Mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu
kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae
mwanzo 1:14-19
Mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku
lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua
wakristo mnahitajika hapa tafadhali!
Hakuna kitabu kitakacho kuja kuandikwa kama biblia... The bestseller of all time. Kitabu kilicho tafsiriwa kwenye kwenye lugha nyingi kuliko chochote kile........ Kama hujui bora utulie usi-pickpoint mistari bila kuisoma na kuelewa contects zake
Contects = contents
Kuuzwa sana kwa kitabu haimaanishi kuwa ni kitabu bora, usijifanye hujui kama fasihi ina kazi ya kuburudisha pia.
Nielewe najaribu kujenga hoja... Kama huelewi bas ila cream kwamba hakuna kitabu kama biblia it is historically, structually correct
Kwani mungu hawezi kujadiliwa bila kutanguliza vitabu vya dini,?yaani kujadili uwepo wa mungu kwa real life experience haiwezekani?
hahahaaHakuna kitabu kitakacho kuja kuandikwa kama biblia... The bestseller of all time. Kitabu kilicho tafsiriwa kwenye kwenye lugha nyingi kuliko chochote kile........ Kama hujui bora utulie usi-pickpoint mistari bila kuisoma na kuelewa contects zake
hahahaa
"the bestseller of all the time"
kwani biblia inauzwa?
anyway,hata avatar ya james cameroon ni block buster kama bible,imesambaza copy nyingi duniani,lakini hii haimaanisha kuwa ni kisa cha kweli
biblia kutafsiriwa katika lugha nyingi ni point ya kitoto,hata wikipedia ipo hivyo
wewe unatakiwa ufafanue kwanini kuna contradiction katika biblia
do you know the meaning of bestseller?,or you just heard from somebody?
even satanic documents can become bestseller also.
Huku sasa Ni kumchunguza Mungu na vile ambavyo mwenyewe hapendi!