Waliofanya oral interview pale erolink kwa ajir ya vodacom customer care vp wameita kuanza training?
Watawaita tuu wala msijali hususan huko voda maana kuna watu wengi wameacha kaz hii ni kutokana na rate zao za malipo kupungua kwa kias kikubwaWaliofanya oral interview pale erolink kwa ajir ya vodacom customer care vp wameita kuanza training?
Sasa hawa ina maana wanapunguza mlundikano wa cv kwao ndo maana wanafanya hv au wanatafuta nin mbna cwaelew. Aggrey kuna m2 mwingne aliyefanya interview pale na unamfaham?
Wameita leo jaman nimetumiwa sms.