VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 3,140
- 2,269
Mmmh hii tena mpya!
Che Ernesto Guevara De la Sena. Mzaliwa wa Algentina. Tofauti kati ya yeye na shetani ni kuwa shetani humuoni ila Che unamuona! Alihangaika sana nchini mwake kutunga vitabu na kushawishi watu wafute kanisa katoliki na dini ya kikristo isiwepo duniani.chini Agentina. Alifukuzwa Nchini algentina na kukimbilia Cuba.
Nchini CUBA alifanikiwa kumshawishi Castro afute dini ya kikristo baada ya mapinduzi ya mwaka 1949 kumtoa madarakani mzee Batista. Cuba ilifukuza mapadri wote, kufunga seminari,kutaifisha Taasisi zote za kanisa na kuwadiport maaskofu nchi za nje. wale maaskofu waliokataa waliishia kufia jela. castro alifuta pasaka, Xmass , na sherehe zote za kikristo nchini mwake. 90% ya waCuba waliozaliwa baada ya mapinduzi ya 1949 hawajui sala ya baba yetu wala kushika Rozali ingawa wana majina ya kikristo.
Che alikuwa nawaweka watoto wa shule madarsani wakiwa na njaa kwa masaa sita, halafu anawapeleka messini na kuwaaambia ombeni kwa jina mungu ili awaletee chakula. Wakiomba kwa jina mungu walikuwa hawakioni chakula, halafu Che anawaambia tena, ombeni kwa jina la castro na Che, mletewe chakul;a. basi wakiomba kwa jina kastro na Che huona magari ya chakula nje na kuletewa ndani kula. Hivyo ndivyo Che alivyofanya propaganda za jina la mungu lizalaulike nchini mwake.
marekani walimkamata nchini bolivia baada ya ya chizi Castro kumtosa nchini Cuba. Alinyongwa kama mbwa kichaa na mpaka hivi leo kaburi lake halijulikani lilipo. Hii yote ilikuwa adhabu ya kutaka kuifuta dini ya kikristo duniani kote.
Hapa africa miChizi mingine iitwalo Lumumba, samora na neto walikuwa na lengo hilo hilo la kufuta christianity Nchini mwao. Lumumba alikiona cha moto kutoka kwa Shujaa Moses Tshombe. Kule Msumbiji Samora alikamiwa vibaya sana na shuijaa Alfonso Drakama Na angola Neto alibanwa na savimbi. Ni ukweli kabisaa, Alfonso Drakama, Moses Tshombe , Joseph Kasavumbu na Savimbi walisimama kidedea kuikomboa dini ya kikristo isiangamie nchini mwao kutoka katika makucha ya mafashisti, mashetani ,maumbwa ya kikomunisti yaliotaka kuzima jina la mungu na Kristo hapa africa.
Kwa mkristo: ukisikia Jina la Che Guevara lilaani kama vile ulaanivyo shetani.

Nchini CUBA alifanikiwa kumshawishi Castro afute dini ya kikristo baada ya mapinduzi ya mwaka 1949 kumtoa madarakani mzee Batista. Cuba ilifukuza mapadri wote, kufunga seminari,kutaifisha Taasisi zote za kanisa na kuwadiport maaskofu nchi za nje. wale maaskofu waliokataa waliishia kufia jela. castro alifuta pasaka, Xmass , na sherehe zote za kikristo nchini mwake. 90% ya waCuba waliozaliwa baada ya mapinduzi ya 1949 hawajui sala ya baba yetu wala kushika Rozali ingawa wana majina ya kikrist
Che alikuwa nawaweka watoto wa shule madarsani wakiwa na njaa kwa masaa sita, halafu anawapeleka messini na kuwaaambia ombeni kwa jina mungu ili awaletee chakula. Wakiomba kwa jina mungu walikuwa hawakioni chakula, halafu Che anawaambia tena, ombeni kwa jina la castro na Che, mletewe chakul;a. basi wakiomba kwa jina kastro na
Che huona magari ya chakula nje na kuletewa ndani kula. Hivyo ndivyo Che alivyofanya propaganda za jina la mungu lizalaulike nchini mwake.
marekani walimkamata nchini bolivia baada ya ya chizi Castro kumtosa nchini Cuba. Alinyongwa kama mbwa kichaa na mpaka hivi leo kaburi lake halijulikani lilipo. Hii
yote ilikuwa adhabu ya kutaka kuifuta dini ya kikristo duniani kote.
Hapa africa miChizi mingine iitwalo Lumumba, samora na neto walikuwa na lengo hilo hilo la kufuta christianity Nchini mwao. Lumumba alikiona cha moto kutoka kwa Shujaa Moses Tshombe. Kule Msumbiji Samora alikamiwa vibaya sana na shuijaa Alfonso Drakama Na angola Neto alibanwa
na savimbi. Ni ukweli kabisaa, Alfonso Drakama, Moses Tshombe , Joseph Kasavumbu na Savimbi walisimama kidedea kuikomboa dini ya kikristo isiangamie nchini mwao kutoka katika makucha ya mafashisti, mashetani ,maumbwa ya kikomunisti yaliotaka kuzima jina la mungu na Kristo hapa africa.
Kwa mkristo: ukisikia Jina la Che Guevara lilaani kama vile ulaanivyo shetani.
mkuu nashukuru kunifungua macho>che ernesto guevara de la sena. Mzaliwa wa algentina. Tofauti kati ya yeye na shetani ni kuwa shetani humuoni ila che unamuona! Alihangaika sana nchini mwake kutunga vitabu na kushawishi watu wafute kanisa katoliki na dini ya kikristo isiwepo duniani.chini agentina. Alifukuzwa nchini algentina na kukimbilia cuba.
Nchini cuba alifanikiwa kumshawishi castro afute dini ya kikristo baada ya mapinduzi ya mwaka 1949 kumtoa madarakani mzee batista. Cuba ilifukuza mapadri wote, kufunga seminari,kutaifisha taasisi zote za kanisa na kuwadiport maaskofu nchi za nje. Wale maaskofu waliokataa waliishia kufia jela. Castro alifuta pasaka, xmass , na sherehe zote za kikristo nchini mwake. 90% ya wacuba waliozaliwa baada ya mapinduzi ya 1949 hawajui sala ya baba yetu wala kushika rozali ingawa wana majina ya kikristo.
Che alikuwa nawaweka watoto wa shule madarsani wakiwa na njaa kwa masaa sita, halafu anawapeleka messini na kuwaaambia ombeni kwa jina mungu ili awaletee chakula. Wakiomba kwa jina mungu walikuwa hawakioni chakula, halafu che anawaambia tena, ombeni kwa jina la castro na che, mletewe chakul;a. Basi wakiomba kwa jina kastro na che huona magari ya chakula nje na kuletewa ndani kula. Hivyo ndivyo che alivyofanya propaganda za jina la mungu lizalaulike nchini mwake.
Marekani walimkamata nchini bolivia baada ya ya chizi castro kumtosa nchini cuba. Alinyongwa kama mbwa kichaa na mpaka hivi leo kaburi lake halijulikani lilipo. Hii yote ilikuwa adhabu ya kutaka kuifuta dini ya kikristo duniani kote.
Hapa africa michizi mingine iitwalo lumumba, samora na neto walikuwa na lengo hilo hilo la kufuta christianity nchini mwao. Lumumba alikiona cha moto kutoka kwa shujaa moses tshombe. Kule msumbiji samora alikamiwa vibaya sana na shuijaa alfonso drakama na angola neto alibanwa na savimbi. Ni ukweli kabisaa, alfonso drakama, moses tshombe , joseph kasavumbu na savimbi walisimama kidedea kuikomboa dini ya kikristo isiangamie nchini mwao kutoka katika makucha ya mafashisti, mashetani ,maumbwa ya kikomunisti yaliotaka kuzima jina la mungu na kristo hapa africa.
Kwa mkristo: Ukisikia jina la che guevara lilaani kama vile ulaanivyo shetani.
SOMA KITABU KIITWACHO remember cheNakubaliana nawewe hii ya huyu Tango ni mpya, sijui historia yake ameitoa wapi?
Lazima itakuwa imeandikwa na Mmarekani hiyo.
ni mtumwa wa kiimani huyo asyejua kwamba ukoloni haungekuwepo bila muunganiko wa huo unaoitwa ukristo.rip cheukitaka kuitwa majina yote mabaya humu duniani pingana na nchi za magharibi,hususani Marekani na uingereza.
Majina kama dikteta, gaidi, wa/mwasina kila aina ya uchafu utapewa tu kama utakuwa unapingana na matakwa ya nchi za magharibi. Eti Che alikuwa gaidi! Kwa kuwa tu alimsaidia Castro kumtoa dikteta batitsa madarakani ambaye alikuwa ni kibaraka wa marekani. Mtu kama Mugabe eti ni dikteta! Kisa haelewani na uingereza. Iddi Amin walimwita majina yote mabaya.
Vyombo vyao vya propaganda ni BBC, CNN. Ambayo kazi yake ni kukuchafua kama utakuwa against wao. Kundi kama hamas la palestina, waliliita la kigaidi, lakini wananchi au raia wa kipalestina waliwapa kura katika uchaguzi katika miaka kadhaa iliyo pita.
Hayo uliyoandika kumhusu che ni propaganda chafu na chuki dhidi ya mwanamapinduzi huyo wa kweli. Che atabaki kuwa alama ya wanamapinduzi na ni mmoja kati ya watu mashuhuri/maarufu aliyeishi karne iliyopita
utake usitake dini zitafutika tu.ni suala la muda tu.wewe unayajua mazuri ya Che? soma na mabaya yake. lumumba na che hawana makaburi kwa sababu dhambi zao za kufuata ukomunisti wa kufuta dini!!! tazama hata samora alivyokufa! momunisti ni shetani.
wewe unayajua mazuri ya Che? soma na mabaya yake. lumumba na che hawana makaburi kwa sababu dhambi zao za kufuata ukomunisti wa kufuta dini!!! tazama hata samora alivyokufa! momunisti ni shetani.
SOMA KITABU KIITWACHO remember che