Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,660
- Thread starter
-
- #61
UYO LZM NO MUHUNI ILO JINA LAKE TU LIMENISTUA B52 NDEGE ZA KIMAREKANI IZO. LZM KAPAMBANA WAHUNI WENZAKE WAMEMSWEKA NDANi
Sikuwepo kabisa. Tena unikome! Lol...
Weraa,thanks hubby!!!Nasubiria huo mtoko kwa hamu!!!
Nimeshajua alipo, soon na mwaga ushahidi.
mh,ya kweli hayo?
Mbona haraka ya kukana, mi naona jamaa kaundiwa zengwe na wana chitchat humu humu nitashuka na mapicha muda si mrefu
huyo jamaa anatakiwa akasaidie polisi!
Yaani hapa nimechoka, ndio tumemaliza centro hapa jamaa kaachiwa kwa masharti ya kutoondoka Mwanza hadi amalize ishu mi nimerejea zangu home nimewaacha kwenye taxi na charminglady, wameniambia sijui wanaenda tafuta gesti. Nshajichokea
Mweh! Ulikuwepo eneo la tukio nini? Yaani Goldcrest inahusika hapa
Yaani hapa nimechoka, ndio tumemaliza centro hapa jamaa kaachiwa kwa masharti ya kutoondoka Mwanza hadi amalize ishu mi nimerejea zangu home nimewaacha kwenye taxi na charminglady, wameniambia sijui wanaenda tafuta gesti. Nshajichokea
Huo ni urongo Elizabeth Dominic na kama hutamuomba msamaha naita na kumlipa wakili wa hapa uchukuliwe hatua kwa kosa la kumdhalilisha member mwenzako kwa uongo!
kwa habari zilizothibitishwa na mkemia mkuu wa serikali. ni kweli kakamatwa eneo tajwa. kwa taarifa zaidi. . . . usikae mbali na mtandao wako wa kujamiiana!
hizo habari za kufededwa sio kabisa...hiyo michezo unaipenda eenh?