R reandle JF-Expert Member Joined May 6, 2009 Posts 11,166 Reaction score 8,152 Aug 5, 2009 #1 WADAU, YEYOTE MWENYE CONTACT ZA ERICK SHIGONGO (particularly email adress) naomba anisaidie!! Nina shida sana na huyo mtu. thanks in advance
WADAU, YEYOTE MWENYE CONTACT ZA ERICK SHIGONGO (particularly email adress) naomba anisaidie!! Nina shida sana na huyo mtu. thanks in advance
Tumsifu Samwel JF-Expert Member Joined Jul 30, 2007 Posts 1,408 Reaction score 162 Aug 5, 2009 #2 Hey utafungiwa mda sio mrefu mkuu...me niliomba contact za Mzee Mengi Invisible alinifanyia kitu mbaya.ngoja nione kwako itakuwaje?
Hey utafungiwa mda sio mrefu mkuu...me niliomba contact za Mzee Mengi Invisible alinifanyia kitu mbaya.ngoja nione kwako itakuwaje?
Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,738 Aug 5, 2009 #3 CarthbertL said: Hey utafungiwa mda sio mrefu mkuu...me niliomba contact za Mzee Mengi Invisible alinifanyia kitu mbaya.ngoja nione kwako itakuwaje? Click to expand... bwa ha ha ha kitu gani hiyo mkuu? anaetaka mambo ya shigongo aende kwenye site yake ya kidaku kule.....
CarthbertL said: Hey utafungiwa mda sio mrefu mkuu...me niliomba contact za Mzee Mengi Invisible alinifanyia kitu mbaya.ngoja nione kwako itakuwaje? Click to expand... bwa ha ha ha kitu gani hiyo mkuu? anaetaka mambo ya shigongo aende kwenye site yake ya kidaku kule.....
Kimori JF-Expert Member Joined May 26, 2008 Posts 213 Reaction score 25 Aug 5, 2009 #4 Au soma magazeti yake chini kuna contact au soma zile hadith zake kwenye magazeti ya udaku kuna e-mail zake
Au soma magazeti yake chini kuna contact au soma zile hadith zake kwenye magazeti ya udaku kuna e-mail zake
RealTz77 JF-Expert Member Joined May 18, 2009 Posts 738 Reaction score 43 Aug 5, 2009 #5 Kimori said: Au soma magazeti yake chini kuna contact au soma zile hadith zake kwenye magazeti ya udaku kuna e-mail zake Click to expand... mi nimeizimika hii baba!!! A bank is a place where they lend you an umbrella in fair weather and ask for it back when it begins to rain
Kimori said: Au soma magazeti yake chini kuna contact au soma zile hadith zake kwenye magazeti ya udaku kuna e-mail zake Click to expand... mi nimeizimika hii baba!!! A bank is a place where they lend you an umbrella in fair weather and ask for it back when it begins to rain
BelindaJacob Platinum Member Joined Nov 24, 2008 Posts 6,494 Reaction score 4,076 Aug 5, 2009 #6 NasDaz said: WADAU, YEYOTE MWENYE CONTACT ZA ERICK SHIGONGO (particularly email adress) naomba anisaidie!! Nina shida sana na huyo mtu. thanks in advance Click to expand... Saka saka kwenye hii link http://www.globalpublisherstz.com/
NasDaz said: WADAU, YEYOTE MWENYE CONTACT ZA ERICK SHIGONGO (particularly email adress) naomba anisaidie!! Nina shida sana na huyo mtu. thanks in advance Click to expand... Saka saka kwenye hii link http://www.globalpublisherstz.com/
Mchaga JF-Expert Member Joined Apr 11, 2008 Posts 1,377 Reaction score 209 Aug 5, 2009 #7 nasdaz said: wadau, yeyote mwenye contact za erick shigongo (particularly email adress) naomba anisaidie!! Nina shida sana na huyo mtu. Thanks in advance Click to expand... check na tcra amekwisha register
nasdaz said: wadau, yeyote mwenye contact za erick shigongo (particularly email adress) naomba anisaidie!! Nina shida sana na huyo mtu. Thanks in advance Click to expand... check na tcra amekwisha register
R reandle JF-Expert Member Joined May 6, 2009 Posts 11,166 Reaction score 8,152 Aug 6, 2009 Thread starter #8 BelindaJacob said: Saka saka kwenye hii link http://www.globalpublisherstz.com/ Click to expand... thanks for support!!
BelindaJacob said: Saka saka kwenye hii link http://www.globalpublisherstz.com/ Click to expand... thanks for support!!