Erick shigongo!!

reandle

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,168
8,142
WADAU, YEYOTE MWENYE CONTACT ZA ERICK SHIGONGO (particularly email adress) naomba anisaidie!! Nina shida sana na huyo mtu.

thanks in advance
 
Hey utafungiwa mda sio mrefu mkuu...me niliomba contact za Mzee Mengi Invisible alinifanyia kitu mbaya.ngoja nione kwako itakuwaje?
 
Hey utafungiwa mda sio mrefu mkuu...me niliomba contact za Mzee Mengi Invisible alinifanyia kitu mbaya.ngoja nione kwako itakuwaje?
bwa ha ha ha kitu gani hiyo mkuu?
anaetaka mambo ya shigongo aende kwenye site yake ya kidaku kule.....
 
Au soma magazeti yake chini kuna contact au soma zile hadith zake kwenye magazeti ya udaku kuna e-mail zake
 
Au soma magazeti yake chini kuna contact au soma zile hadith zake kwenye magazeti ya udaku kuna e-mail zake
mi nimeizimika hii baba!!!
A bank is a place where they lend you an umbrella in fair weather and ask for it back when it begins to rain
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom