Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,171
- 3,346
Kumbe jamaa passport aliyonayo ni ya kidilomasia na amepewa na Museveni mwenyewe na ni balozi wake! Baada ya kuinyang'anya akamshinikiza hampi passport mpaka afanye show next sunday,
Aibu sana kwa sanaa yetu nchini! Chamilion ameshapaa asubuhi leo na alikuwa show ya MTN jana ya 200,000 USD! Wanasheria walishafika hapa tz tangu jana kusimamia maslahi yake!
Sasa mtu anayelipwa dolla 200,000 kama ni kweli anaweza kufanya utapeli wa dolla 3,500 kweli?????
Shigongo akubali hiyo ni hasara katika biashara, azidishe 3,500$ * 1,600 = ???? ndiyo hasara yake arudi bongo ajifunze na aache ufa.la siku nyingine.