Eric Shigongo....Hapa umepitiliza !


...... Bwahahaa ha ha haaa! I have confirmed my doubts. Upo usemi unaosema kuwa Ni bora kukaa kimya wanaokutazama wakabaki wakidhani kuwa wewe ni mbumbumbu; kuliko kufungua kimnywa chako kuzungumza na kumthibitshia kila mmoja kuwa haswa, wewe ni mbumbumbu!
 

mkuu naomba nisahihishe neno moja tu loophole na usualhi ilitokana na kumtumia mtu aandike wakati mimi nafanya mabo mengine inawezekana ni ubinadamu wa kwaida tu,na nikiri ENGLISH kwetu ni tatizo kubwa tu we bungeni tu wanakotunga sheria kina JOHN MNYIKA na TINDU LISSU kila siku wanachapia inakua kazi kwa mwanasheria mkuu
nafikiri nikusaidie kwa hayo mengine inawezekana wewe apa sasa ndiyo unaonekana mbumbumbu,wacha nikusaidie kwa ufafanuzi ili upate kuelewa. 1.SYMPAHY=FEELING OF PITY OR SORROW OF SOMEONE ELSE'S MISFORTUNE OR THE STAE OR FACT OF CORESPONDING IN A WAY CORESPONDING TO AN ACTION ELSEWHERE
2.EMPATHY=THE ABILITIY TO UNDERSTAND AND SHARE THE FELING OF ANOTHER, people often confuse the word EMPAHY AND SYMPAHY inawezekana na wewe ni mmojawapo. ilo LOOPHOLE NAFIKIRI NI COMMON AYO MENGINE INAWEZEKANA TU NI ERROR IN WRITING NA INATOKANA NA POOR TECHNOLOGY YA WEBSITE YENYEWE HAINA OUTOMATIC GRAMMA AND SPEL..CORRECTION INAYOKIDHI. KWAIYO AKUNA ULICHO CONFIRM ZAIDI YA KUTAKA KUJIONYESHA UNAJUA SANA LUGHA FOR UR INFORMATION MCHUKUE SHAROBARO WA MAREKANI MWENYE UMRI WA 20S ALAFU MCHUKUE NA JOHN MAGUFULI UWASHINDANISHE KUANDIKA NA KUONGEA KINGEREZA UTAPATA MSHINDI ,THEN WACHUKUE TENA WAPELEKE KWENYE WIZARA NA WAPIME NANI ANAWEZA KUMANAGE WIZARA UTAPATA MSHINDI AMBAYE HATOKUA YULE WA KINGEREZA SO KINGEREZA IS JUST LUGHA ILA KUNA KITU BEYOND LUGHA ..CONFIRM IT MAANA WEWE UMEKUA MZEE WA KU CONFIRM
 
Ndio madhara ya kukumbatiwa na Magamba.Awaombe radhi watoto pamoja na mama yao tena kupitia Kurasa za mbele za magaazeti yake na gaazeti la serikali.mpuuzi sana huyu kijana,yale magaazet huwa hayahaririwi yele
Hapa suala ni usimamizi dhaifu wa maadili ya uandishi. Kwa makosa kama haya alistahili kuchukuliwa hatua za kinidhamu na kuwalipa fidia kwa athari ambazo watoto hao wamezipata na wataendelea kuzipata maishani mwao. Shigongo na magazeti yake ni mfano ulio hai wa "uhuni" unaokua katika jamii yetu. Alitambulishwa jukwani wakati wa kampeni kwenye jimbo moja huko Mwanza na JK na kuitwa rafiki kama sikosei. Ndio aina ya watu wanaojiona wanasifa ya kuwa viongozi hapa nchini(aligombea kuteuliwa kugombea ubunge kupitia CCM "Ndege wajuanao wanaruka pamoja". Tunanjia ndefu ya kusafisha tabia zisizozingatia maadili.
 
Kuna baadhi ya wana jamii forum wameanza kunipa wasi wasi, kikubwa zaidi ni kuwa na wanajf wanaopoteza muda wao kusoma magazeti ya kijinga kama hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…