GE2025 Eric Shigongo adai Buchosa kuna watu wamesambaza pesa ili wamuondoe kwenye jimbo lake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Wakuu,

Inashangaza sana kuona mtu ambaye alikuwa anahonga wananchi Matisheti analalamikia kuhusu rushwa kwenye Uchaguzi

Yaani hapa kasema kabisa yeye hana hela na kwamba huko Buchosa kuna watu wanasambaza hela ili wachukue nafasi yake.

"Mtakachokifanya kesho wazazi kisitegemee ni kiasi gani cha pesa mtu ametoa. Uongozi haunuliwi hatuwezi kutengeneza taifa la watu wanaonunua uongozi. Jimbo hili fedha zinamwagwa kila kona. Wazazi wangu hii sio sawa na Chama Cha Mapinduzi kinakemea hili jambo"

Natumaini ACT na CHAUMMA wanaangalia kwa umakini mkubwa nini kinaendelea kwenye mchakato wa CCM

Yaani kama huko CCM watu washaanza kumwaga hela na kuchezeana rafu, itakuwaje sasa ikiwa mgombea wa CCM na mpinzani?

Jimbo sio lake, Jimbo ni Mali ya wananchi, wananchi wataamua wachague wamtakaye.

Kwani yeye hakutoa pesa alivyoshinda? na hata sasa hakutoa pesa.. hakuna Mbunge asiyetoa pesa kushinda uchaguzi CCM, ukisikia kelele hivi ujue amekuja mwenye pesa kuliko yeye.

ndani ya mitaa ya Kabul-Afghanistan.
 
Huu uchaguzi wao sehemu nyingi watia nia wamegawa rushwa kama njugu bila aibu na wameishia kufyekelewa mbali. Hawa walioingia awamu ya pili mwendo ni huohuo kugawa rushwa kwa wajumbe, kama hutoi hutachaguliwa. Ni patashika watu wanagawa ishirini, kumi hadi tanotano, wajumbe wenyewe ni njaa kali wanasema mkono mtupu haulambwi
 
Wakuu,

Inashangaza sana kuona mtu ambaye alikuwa anahonga wananchi Matisheti analalamikia kuhusu rushwa kwenye Uchaguzi

Yaani hapa kasema kabisa yeye hana hela na kwamba huko Buchosa kuna watu wanasambaza hela ili wachukue nafasi yake.

"Mtakachokifanya kesho wazazi kisitegemee ni kiasi gani cha pesa mtu ametoa. Uongozi haunuliwi hatuwezi kutengeneza taifa la watu wanaonunua uongozi. Jimbo hili fedha zinamwagwa kila kona. Wazazi wangu hii sio sawa na Chama Cha Mapinduzi kinakemea hili jambo"

Natumaini ACT na CHAUMMA wanaangalia kwa umakini mkubwa nini kinaendelea kwenye mchakato wa CCM

Yaani kama huko CCM watu washaanza kumwaga hela na kuchezeana rafu, itakuwaje sasa ikiwa mgombea wa CCM na mpinzani?

Eti leo anasema nchi irudi kipindi cha Mwalimu :MonkiFlip: Eti ombi langu msiniondoe sasa 😀
 
Wakuu,

Inashangaza sana kuona mtu ambaye alikuwa anahonga wananchi Matisheti analalamikia kuhusu rushwa kwenye Uchaguzi

Yaani hapa kasema kabisa yeye hana hela na kwamba huko Buchosa kuna watu wanasambaza hela ili wachukue nafasi yake.

"Mtakachokifanya kesho wazazi kisitegemee ni kiasi gani cha pesa mtu ametoa. Uongozi haunuliwi hatuwezi kutengeneza taifa la watu wanaonunua uongozi. Jimbo hili fedha zinamwagwa kila kona. Wazazi wangu hii sio sawa na Chama Cha Mapinduzi kinakemea hili jambo"

Natumaini ACT na CHAUMMA wanaangalia kwa umakini mkubwa nini kinaendelea kwenye mchakato wa CCM

Yaani kama huko CCM watu washaanza kumwaga hela na kuchezeana rafu, itakuwaje sasa ikiwa mgombea wa CCM na mpinzani?

Wamuondoe kwenye jimbo,na SIYO kwenye jimbo lake!
 
Kwani si aliwapa Tshirt alizowaahidi ,asiwe na wasiwasi ametimiza ahadi zake atapita tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom