Bora kidogo Unger linganisha omondi na Churchill show, ukitaka kujua comedian wa kenya wapo juu wao wanaandaa live shows, watu wanatoa viingilio Kwenda kiburudani, tofauti na hawa wa kwetu wanao tegemea air time Za TV stations.
Ebu ingia YouTube uangalie show za omondi.
How to be magufuri, how to be Sauti soul, how to be diamond nk.
Jamaa yuko vizuri, he is one man comedian army, tofauti na Churchill show ambayo is a combination of different comedians.