Equity bank tanzania limited

DKNY

Member
Nov 4, 2010
30
10
Equity Bank one of the most successful banks in Africa,currently operating in Rwanda,Uganda,South Sudan with its headquarters in Nairobi,Kenya is soon expected to expand its services in Tanzania,mainly:Dar,Mwanza and Arusha.
We are looking to recruit on the following position: Branch Growth and Development managers(BGDM) as well as Credit Managers,if you are qualified and ready to be part of the team that is mainly focused on TRANSFORMING THE LIVES AND LIVELIHOODS OF THE PEOPLE OF TANZANIA,then kindly forward your CV to this e-mail address:jacquelineminja@equitybank.co.ke.

Jamani hawa watu wa EQUITY BANK ni wakombozi wa wanyonge, Kenya wamefanya kazi kubwa kwa kuwakomboa wajasiliamali tunawakalibisha TZ hasa ARUSHA!!!!!!!!

Jamani hawa watu wa EQUITY BANK ni wakombozi wa wanyonge, Kenya wamefanya kazi kubwa kwa kuwakomboa wajasiliamali tunawakalibisha TZ hasa ARUSHA!!!!!!!!

TUNAWAKA-LI-BISHA AU "TUNAWAKA-RI-BISHA"?
Tetea Lugha yako vyema...hapo kwenye CV utasema unaandika Swahili fluently 100%!

Nitakuwa mtu wa kwanza kufungua akaunti hapo,hii ni benki ya wauza mboga mboga bana,sasa mimi muuza mchicha itanifaa sana,na tuone hao CRDB,NMB(washukuru serikali kwa kuamua kupitishia mishahara yawaajiriwa wa serikali kuu huko la sivyo hii benki tungeita marehemu)kama watahimili hiyo tsunami ya Equity(kikuyu) bank

uyu JACQ MINJA!DUH NIMEPGA NAE CLASS MOJA UYU!DUH LAKIN MI BADO NAUZA NYAGO YE ANAAJILI?KWELI DUNIA INA UPENDELEO

Kama ni kweli NMB wamekwisha this more than kusaidia wanyonge ATM kila kona Kenya especialy Nairobi hawana masharti ya ajabu ajabu very easy na ATM zao ukiweka zinatoa picha yako unaweza deposit mpaka cheque kwa ATM

kaza moyo kaka jitahidi kutafuta wakati ukifika utapata tu

DUH MWANANGU KILIMASERA...NIMECHOKA SANA,SINA REFA..KAMA GAMBA LIPO NJEMA..MJINI UKO SINA MWENYEJI...NIMETUMA SANA APPLCATN LAKN WAPI..ATA CJUI NINA GUNDU GANI..KAMPAN YANGU KICHUO CHUO WOTE WANA KAZI...NIMERUD BUSH KUPUMZIKA

Kama ni kweli NMB wamekwisha this more than kusaidia wanyonge ATM kila kona Kenya especialy Nairobi hawana masharti ya ajabu ajabu very easy na ATM zao ukiweka zinatoa picha yako unaweza deposit mpaka cheque kwa ATM

Nasikia wana huduma bomba sana tena sana, ATM network yao ni kubwa na nzuri na on top of that nasikia wanatoa personal na business loans bila longolongo. CRDB, NMB na utitiri wa benki nyingine zenye service mbovu mtakonda kuringa.

Kumekucha. Hii ni benki ya watu.Banking charges zao ndogo,masharti ya kupewa mikopo ni nafuu. Kenya wanao agents hadi vijijini na pia wameoanisha sytem yao na safaricom M pesa. Habari njema.

bwana nimetuma maombi ya kazi kwa hiyo e mail imenigomea kwenda sasa sijui inakuwaje e mail yenyewe ni hii  jacquelineminja@equitybank.co.ke imekataa

mkuu ungei google halafu uisome kama inampango wakuja bongo..

Wakuu naona mnafurahia sana hii bank. Ni kweli kwa Kenya inafanya vizuri hata hapa inafanya vizuri, ila itaanguswha na JF soon. Unajua hizi bank mpya zinaingia kwa migongo ya wana siasa wenye kashfa so ikilipuka hakuna mtu ata bank nao. Tunzeni hii comment yangu mtaja refer siku zijazo.

Nasikia wana huduma bomba sana tena sana, ATM network yao ni kubwa na nzuri na on top of that nasikia wanatoa personal na business loans bila longolongo. CRDB, NMB na utitiri wa benki nyingine zenye service mbovu mtakonda kuringa.

Yaani hawa jamaa ni wakombozi mkopo unapewa bila milolongo yoyote unajijazia zako fomu ndani ya siku mbili mkopo tayari

Similar Discussions

Back
Top Bottom