mdesi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 1,367
- 2,220
Habari wana JF,
Taasisi ya kifedha pekee iliyobaki inayoajiri fresh graduates bila upendeleo ni Equity bank. Hawana cha kumjua nani wala nani, kama una qualification na ukafaulu written test hakika hawakuachi. Halafu wanajitanua sana halafu kwa strategy nimeliona new branch Morogoro pale nadhani watafungua soon. Hii benki ipo tofauti sana na benki nyingine.
They are very smart aisee nimewapenda.