Equity Bank kunani mbona hamtupi matokeo ya usaili(interview)

COURTESY

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
2,006
706
Tuliambiwa tutapigiwa simu after two weeks kupewa matokeo ya usaili,kuanzia tarehe 3 feb mpaka leo kimya hamna mtu aliyepata call!!Au ndo tumekalia kuti kavu,mwenye taarifa tafadhali atujuze.....
 
hahaaaa Wquity Bank tayari watu wameanza kazi na wamemaliza training kama 2 weeks hivi yaani sasa ndo wanajiandaa kuvuta mpunga wao wa mwezi wa kwanza....hahaaaaa....
 
Hahahaha basi hao watu sio tulio piga nao interview,maana hamna mtu hata mmoja alie itwa till now!!hao wanapiga kazi gani?
 
Tuliambiwa tutapigiwa simu after two weeks kupewa matokeo ya usaili,kuanzia tarehe 3 feb mpaka leo kimya hamna mtu aliyepata call!!Au ndo tumekalia kuti kavu,mwenye taarifa tafadhali atujuze.....

ukiona kimya ujue ndo basi tena kaka angu!
 
vipi we ulisoma udom?kama jibu ni 'sio' basi imekula kwako
 
mi cjasoma udom,kwani vipi mbona unaniogopesha mkuu?

ile ofisi walifanya kitu mbaya sana kumkabidhi mtanzania ambaye amemaliza udom mwaka 2009,jina ninalo na kundi lake ambao wameamua kuwachukua marafiki waliosoma darasa moja na baadhi ya watu kutoka udom na wachache ambao wamepelekwa na wakurugenzi wa benki hiyo ila usikate tamaa kwani wanataraji kufungua matawi kadhaa na nahisi wengine pia watapata nafasi baada ya huo ukiritimba kuisha humo ndani,ukifika pale quality center na ukakaa muda kadhaa ukifuatilia yanayofanywa pale na watz wenzetu utajuuta
 
Mkuu wakati mwingine taratibu za kuajiri zinakuwa zinazingua sana, tena ukizingatia hiyo ni Bank mpya kabisa hapa bongo...!
Kama hajaitwa hata mmoja basi endelea kujipa moyo tu.
Lakini harakati za kutupia ziendelee kama kawa hakuna kulala
 
au unamaanisha yule HR wao jackline?dah ngoja tuvute subira!!tunaweza kumbukwa
 
Mkuu wakati mwingine taratibu za kuajiri zinakuwa zinazingua sana, tena ukizingatia hiyo ni Bank mpya kabisa hapa bongo...!
Kama hajaitwa hata mmoja basi endelea kujipa moyo tu.
Lakini harakati za kutupia ziendelee kama kawa hakuna kulala

ahsante kwa maoni mkuu, sori za viatu zishaisha hapa,ngoja kesho nikanunue zile travolta zenye vyuma kwa ajili ya harakati za kusambaza cv
 
ile ofisi walifanya kitu mbaya sana kumkabidhi mtanzania ambaye amemaliza udom mwaka 2009,jina ninalo na kundi lake ambao wameamua kuwachukua marafiki waliosoma darasa moja na baadhi ya watu kutoka udom na wachache ambao wamepelekwa na wakurugenzi wa benki hiyo ila usikate tamaa kwani wanataraji kufungua matawi kadhaa na nahisi wengine pia watapata nafasi baada ya huo ukiritimba kuisha humo ndani,ukifika pale quality center na ukakaa muda kadhaa ukifuatilia yanayofanywa pale na watz wenzetu utajuuta

Mkuu futa kauli yako, umedanganya uma, intake ya kwanza ya udom ilikuwa 2007 na hao wanafunzi walimaliza 2010 as the first graduates from udom, huyo aliyemaliza 2009 alisoma udom ipi?

Sijasoma udom sema my wife to be goes there and alikuwa among the first graduate wa udom 2010 and I was there for her graduation and niliona wakitangaza ndo graduation yao ya kwanza,

Note: no research, no right to speak
 
kama hawajakuita ujue washaitwa wengine-nilishafanya interview yao mwaka jana ikawa hivyo hivyo
 
ok!..ila kama wamewaita nitakujuza mkuu..maana nina mshikaji pale niye mhusika mkuu mpaka last wiki walikua bado wanasubiri taratibu mpya toa BOT za kusajiri Accounts...nitakupa jibu kwa kukuPM
 
thanx mkuu,ntashukuru!
 
Back
Top Bottom