Epukana na wanawake wa aina hiiii

Epukana na wanawake wa aina hiiii

bidodo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
217
Reaction score
90
AINATISA ZA WANAWAKE WABAYA​
1. Mwanamke ambae hajui watoto wakewanamaendeleo gani anajua kuwazaaa tuu. Eg wachafuhawashughulikiwi, hajui wanamaendeleo gani
2. Mwanamke anaetolewa maharikupindukia huwa anatabia mbaya
3. Mwanamke mwenye ulimi mrefuu hakunamaneno machafu alokua hayajui eg tabia mbove
4. Mwanamke mwenye kujikwatua na kujipambakwa ajili ya sherehe too na sio kwa ajili ya mumewe.
5. Mwanamke ambae amepata mtoto kwamumewe akaachika. Akaolewa kwengine lakini fikra zotezipo kwa mtalaka wake na kumkandamiza alonae ili kukamilisha malengo yakekumrejea mtalaka walee mtoto wao. Ambae anafanya ivo kwa ajili ya kutakakumuinua mwanae. Mwanamke wa aina hii anakuwa bado anampenda mtalaka wake ilaanataka hifadhi too kwengine.
6. Mwanamke mtendaji ambae smart.Ambae anakipaji na kumzalilisha mumewe kwa mfano. Akimfokea mumewe na kumwambiawewe ungekua sio mimi usingekua hivi….. blaaa kibao na majisifu kama si mimiusingekua hivi, usingevaa, ulikua mshamba sana, sasa unakiburi unajiona. Storyzimejaa maskani mwanaume taaabani roho yake maneno kila pahali. Mwanamme anakuahana raha kwa kutangaziwa ila alizonazo. Mwanamke wa aina hiii hiyo ndo silahayake ya kuweza kumuweka mume wake kwa sababu mume anakua hana mdomokadhibitiwa.
7. Mwanamke mvivu ambae heshikusononeka. Hataki kazi eg mumewe akija tooanajidai naona kichwa kinaniuma naona pressure. Akiulizwa umepima anajidai watuwanasema mara pressure hanaga uvivu too. Huyu hataki kusema kama mvivu.Mwanaume akisema anataka panadol yeye anataka nne. Akisema mumewe nchue. Yeyeatasema na mie mwili mzima maziwa yananitonesha. Huna utakachosema akawa yeyesi zaidi. Muepuke mwanamke wa aina hii. Jidude kama hili likikuingilia nyumbaniunkwisha.
Mume:hodi kwa pikwa nini leo
Mke: leo najiskia sikia naona bora upike
Mume:akuna nazi
Mgeeeni: hodi hodi hodi
Mke:haya mume wangu mahasidi hao wanataka kuja kutuona kutuvunjia ndoa yetu hahahamwanaume akuna nazi.

8.Mwanamke anaependa makubwa. Alionaloanalitaka hajui kukosa eg katununulie uyo papa heee kwa hali hiii sie birianitutaiyoota too.N.K
9. Mwanamke anaemuacha mumewe anaaadhirika kwenye mialiko kwa kula.Hapikiwi home.Kutwa mkewe masalooni na kujikwatua hajui hata kupika
 
Hembu rekebisha kwanza uandikaji uwe logic then I wii be back-seems like una point ile huja present vizuri ,si unajua hapa sio facebook?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Weee chukulia poa tooo mkuuu kiswahili cha kujifunza still mwekundu
 
Last edited by a moderator:
Guys I am still learning my swahili, sorry for bad grammer,be patients for this. I appreciate.Thank you
 
Sasa unamuepukaje na keshakuwa mkeo? Unashauri talaka ama?
 
2. Mwanamke anaetolewa maharikupindukia huwa anatabia mbaya
Nakuunga mkono bidodo, lakini kwenye hii namba 2, hivi kuna uhusiano kweli kati ya tabia ya mtu na kutolewa mahari kubwa? To my understanding tabia ya mtu ni tabia tu, hata atolewe bure, kama ni muhuni atabaki kuwa muhuni! Unataka kuniambia waliotolewa mahari kubwa wengi wao wanatabia mbaya? Vile vile waliotolewa mahari ndogo wengi wao wanatabia nzuri?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu pengine kweli mii nimeskiliza speech sehemu nikaifikisha kwenye jukwaa HorsePower
 
Last edited by a moderator:
AINATISA ZA WANAWAKE WABAYA​
1. Mwanamke ambae hajui watoto wakewanamaendeleo gani anajua kuwazaaa tuu. Eg wachafuhawashughulikiwi, hajui wanamaendeleo gani
2. Mwanamke anaetolewa maharikupindukia huwa anatabia mbaya
3. Mwanamke mwenye ulimi mrefuu hakunamaneno machafu alokua hayajui eg tabia mbove
4. Mwanamke mwenye kujikwatua na kujipambakwa ajili ya sherehe too na sio kwa ajili ya mumewe.
5. Mwanamke ambae amepata mtoto kwamumewe akaachika. Akaolewa kwengine lakini fikra zotezipo kwa mtalaka wake na kumkandamiza alonae ili kukamilisha malengo yakekumrejea mtalaka walee mtoto wao. Ambae anafanya ivo kwa ajili ya kutakakumuinua mwanae. Mwanamke wa aina hii anakuwa bado anampenda mtalaka wake ilaanataka hifadhi too kwengine.
6. Mwanamke mtendaji ambae smart.Ambae anakipaji na kumzalilisha mumewe kwa mfano. Akimfokea mumewe na kumwambiawewe ungekua sio mimi usingekua hivi….. blaaa kibao na majisifu kama si mimiusingekua hivi, usingevaa, ulikua mshamba sana, sasa unakiburi unajiona. Storyzimejaa maskani mwanaume taaabani roho yake maneno kila pahali. Mwanamme anakuahana raha kwa kutangaziwa ila alizonazo. Mwanamke wa aina hiii hiyo ndo silahayake ya kuweza kumuweka mume wake kwa sababu mume anakua hana mdomokadhibitiwa.
7. Mwanamke mvivu ambae heshikusononeka. Hataki kazi eg mumewe akija tooanajidai naona kichwa kinaniuma naona pressure. Akiulizwa umepima anajidai watuwanasema mara pressure hanaga uvivu too. Huyu hataki kusema kama mvivu.Mwanaume akisema anataka panadol yeye anataka nne. Akisema mumewe nchue. Yeyeatasema na mie mwili mzima maziwa yananitonesha. Huna utakachosema akawa yeyesi zaidi. Muepuke mwanamke wa aina hii. Jidude kama hili likikuingilia nyumbaniunkwisha.
Mume:hodi kwa pikwa nini leo
Mke: leo najiskia sikia naona bora upike
Mume:akuna nazi
Mgeeeni: hodi hodi hodi
Mke:haya mume wangu mahasidi hao wanataka kuja kutuona kutuvunjia ndoa yetu hahahamwanaume akuna nazi.

8.Mwanamke anaependa makubwa. Alionaloanalitaka hajui kukosa eg katununulie uyo papa heee kwa hali hiii sie birianitutaiyoota too.N.K
9. Mwanamke anaemuacha mumewe anaaadhirika kwenye mialiko kwa kula.Hapikiwi home.Kutwa mkewe masalooni na kujikwatua hajui hata kupika


Mkuu huogopi kutukanwa au kutupiwa laana, maana hapa naona unawalenga kabisa mafashionista feki wa hapa Bongo wanaolilia kufanywa punda kwa kubeba sembe za watu wakirudi salama wanakuja kwa matanuzi makuuuuuubwaaaa, hawataki kusikia la yeyote yule.
 
^^
Mada zenye ukweli kama hizi,,wachangiaji wanahesabika kwa vidole.
Nice bidodo
^^
 
Last edited by a moderator:
I know Himidini inaonyesha wengi wao wapo kwenye hayo makundi sasa inapuuzwa cuz kwao wao kero
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom