Epuka wizi wa benki unaofanywa na benki tellers

Epuka wizi wa benki unaofanywa na benki tellers

Ni walugaluga tu ndo wanaoibiwaga, hasa wanaume wa mikoani huwa wanapagawa kweli kweli kwasabu wakiingia mule wanakutana na ubaridi full AC, vioo nini mixer harufu za pafyumu za kila aina flat tv na maluweluwe mengine kibao basi wanapagawa kichizi!
Kuna mikoa na mikoa.. kuna wanaume wa mikoa ya kudini.. labda utumie uchawi kuiba. Maana pesa inahesabiwa mara 1000 kabla haijakufikia. Iba uone.
 
Ni walugaluga tu ndo wanaoibiwaga, hasa wanaume wa mikoani huwa wanapagawa kweli kweli kwasabu wakiingia mule wanakutana na ubaridi full AC, vioo nini mixer harufu za pafyumu za kila aina flat tv na maluweluwe mengine kibao basi wanapagawa kichizi!
Sasa hao waliokuwa wanajiona wajanja na kumuona jamaa mjinga ndio walikuwa walugaluga original.
 
Uzao wa magufuli wezi wezi huu muhula wa tano wezi kutoka chato wameongezeka tuwe waangalifu na chato hata 1.5 million zimeibiwa hivyohivyo

Swissme
Hili post yako lengo ni kutaka watu wawe banned tu, si Kwani tusi hili nililokutukana kimoyo moyo.
 
Aisee hata mimi ilishawahi nitokea nadhani hawa dada ni wezi tena alinambia elf 50 imepungua
 
Mbona wengine ukienda Ku withdraw wanakupachikia misimbazi feki kama mitatu minne hivi.. Unaenda kupambana na polisi mbele ya safari...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Imenikumbusha M-pesa, Ndugu yangu akanipa pesa yake nimwekee kwa wakala. Nikawa nimehesabu ikawa ni kiasi kadhaa. Kufika pale nilimkuta mdada, baadae ananitajia kiasi tofauti na nilichohesabu. Kama elfu 10 imepungua, nikasemaa ina maana nilikosea kuhesabu, akili ikagoma hapo.
Tatizo mimi nina haiba ya ukimya, hata kupigizana kelele na mtu siwezi. Akaweka hicho kiasi, kufika huku ndugu yangu ananambia mbona elfu 10 imepungua.
Tukarudi kwa yule Dada, yeye akamkoromea pale baadae akaamua kuachana nae.
Ila nilipata hasira, unaweza kutafsiriwa kama mwizi wakati hata kujaribu hujawahi.
Naona wadada wengi itakuwa ni wezi, maana huyo ni mwizi pia.
 
Bank zote huwa Zina CCTV camera kwa hiyo huyo bank teller anavyoichezea mashine mpaka anabana pesa ina maana waliopo kwenye Room control hawako makini ni mwendo wa kunywa Chai tu.

Au pale kwa bank teller huwa hakuna CCTV camera?
 
huu Uzi bila picha, au angalau maelezo ya namna mashine inavyoweza chezewa ibane pesa basi huu Uzi utakuwa ni CHAI TU KAMA UDAKU MWINGINE!
Yawezekana huenda Machine iligoma au ilikuwa na matatizo, lakini huwezi generalize TUHUMA MOJA KWA MOJA!
Hata A.T.M Huwa zinakosea zinatoa elfu 10 mbili zilizogandana..Huu ushabiki Wa kusikiliza upande mmoja mm huwa haunibariki sana! ngoja niifanyie kazi hii taarifa
 
Nahisi ni kumonitor wanaoingia ndani ya bank, na wanaosubiri huduma. Kwenye chumba cha teller sidhani kama kuna camera
 
Halafu walinzi kwanini Huwa hawahoji wao wakiambiwa kitu ni kutekeleza tu.
Pia wabongo kwanini hatuna kawaida ya kusaidiana.Mwenzako yamemtokea nawe unaona kama anakuchelewesha wakati nawe unaenda huko huko yanaweza kukukuta
Wale ni mbwa,mwenye mbwa akimuamuru mbwa wake kamataa!!mbwa huwa anahoji!??
 
huu Uzi bila picha, au angalau maelezo ya namna mashine inavyoweza chezewa ibane pesa basi huu Uzi utakuwa ni CHAI TU KAMA UDAKU MWINGINE!
Yawezekana huenda Machine iligoma au ilikuwa na matatizo, lakini huwezi generalize TUHUMA MOJA KWA MOJA!
Hata A.T.M Huwa zinakosea zinatoa elfu 10 mbili zilizogandana..Huu ushabiki Wa kusikiliza upande mmoja mm huwa haunibariki sana! ngoja niifanyie kazi hii taarifa

kama alikosea kwa nn aliomba asipelekwe kwa branch manager? kwa nn alikua mpole??

Kama unaona ni chai, chukua na mikate unywee kabisa, ninsingeweza kuwasingizia NMB kwa kua likitokea kwenye benki yao, UWE MWELEWA
 
Back
Top Bottom