Epuka upotoshaji mpya wa wanaCCM

Hata Rwanda MUNGU yupo lakini bado watu wanateswa
Mungu hajawai weka mwisho mwema kwa madikteta. Muda ni mwalimu mzuri sana. Kagame destiny yake ipo tu.

Mungu anaipenda Tanzania pia. Ndo mana ndani ya miaka hii mitano Watanzania tumelalamika sana na hadi Mungu ametuletea watu wa kututetea kutoka nje baada ya kuona hali ya ndani ya nchi ni mbaya sana.

Amini nakwambia Tanzania tunapata suluhisho mapema zaidi ya Rwanda
 
Uganda toka 1985 wengine hatujazaliwa mpk leo Dikteta anawatafuna, inamaana huko hawana MUNGU?
 
Uganda toka 1985 wengine hatujazaliwa mpk leo Dikteta anawatafuna, inamaana huko hawana MUNGU?
Unafikiri Mwisho wa Museveni ukoje??? Kila jambo na wakati wake. Wakati wa Mungu ukifika atafanya tu!!
 
Hizo ni imani tu, muhimu ni kupambana hapa hapa hakuna cha MUNGU
Mapambano bila baraka za Mungu ni kazi bure. Unadhani Tundu Lissu angepona dhidi ya kifo kwenye risasi za wana Ccm 16 bila baraka na nguvu za Mungu ?
 
Mapambano bila baraka za Mungu ni kazi bure. Unadhani Tundu Lissu angepona dhidi ya kifo kwenye risasi za wana Ccm 16 bila baraka na nguvu za Mungu ?
Israel ukileta fyoko hata leo wanakukamua na ni taifa teule la MUNGU, MUNGU amekupa akili unatakiwa kupambana
 
Israel ukileta fyoko hata leo wanakukamua na ni taifa teule la MUNGU, MUNGU amekupa akili unatakiwa kupambana
Unafikiri bila nguvu ya Mungu Israël wangepona kwenye six day War ya 1967 au Yum Kippur War ya 1973????
 
Kwani wao siyo wanasiasa? wametutawala kama mifugo sasa basiiiiiii!
 
Nashukuru mimi binafsi nimefanikiwa kushawishi watu zaidi ya 20 kupiga kura. Hawa walikuwa wamegoma kabisa kupiga kura kufuatia kunajisiwa box la kura baada ya awamu ya tano kuingia madarakani.
Wale uliowashawishi wasiende kuboresha taarifa zao kwenye daftari la mpiga kura vipi? Nao watapiga kura?
 
Wale uliowashawishi wasiende kuboresha taarifa zao kwenye daftari la mpiga kura vipi? Nao watapiga kura?
Watu ninaowashawishi ni watu wazima wenye vitambulisho, sio watoto. Hawa watu wazima ni wale tuliokubaliana kuwa hakuna kupiga kura tena, ila kwakuwa Tundu Lisu mpinzani wa kweli ndio anagombea, tutapiga kura. Ingekuwa ni hilo kapi Nyalandu usingetuona. Na huyu Lisu anatushawishi kupiga kura maana hana lugha za kumuachia Mungu.
 
Ndiomana ufipa mna hasira Sana mnajua Tundulisu atakuja kuwafanya mue matajir achen kuota ivi Arusha Kati ya ccm Na wachaga wa kule walio Ijenga ni kina Nan?, kama sio wachaga wenyewe kwa juhud zao za kutafuta pesa?
 
Vimekuja vizee vilivyojichokea maisha jana usiku, vikanikuta nyumbani na wife, vikaanza kubwabwaja upuuzi wao wa ccm, nikawa navirekodi, vilivyomaliza nilivipa sekunde3 viwe nje ya geti nikaondoka kwenda bandani kumfungulia popii
 
Mmeamia kwenye ukabila tena??? Watanzania wameshawajua sasaivi. Mmeishia kuleta propaganda tu. Hakuna lolote la msingi na la maana mnalofanya. Mwisho wenu ni October 28 tu
 
Vimekuja vizee vilivyojichokea maisha jana usiku, vikanikuta nyumbani na wife, vikaanza kubwabwaja upuuzi wao wa ccm, nikawa navirekodi, vilivyomaliza nilivipa sekunde3 viwe nje ya geti nikaondoka kwenda bandani kumfungulia popii
Wanatia huruma na kusikitisha sana. Leo wanasema Eti watafufua viwanda vya ufi na urafiki wakati miaka yote wapo madarakani na Sera zao mfu ndo zimesababisha viwanda hivyo kufa na maelfu ya watu na vijana kukosa ajira
 
Huo ndo ukweli wenyewe. Lissu ameshawishi watu wengi sana kupiga kura mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…