Je, unatambua kuwa kuna baadhi ya matunda na mboga za majani havitakiwi kuwekwa kwenye Friji?
Kuna baadhi ya aina ya Matunda na mboga za majani havihitaji kuwekwa kwenye Friji (Jokofu), Mfano aina hizi za matunda (kwenye video)vikiwekwa kwenye Friji husababisha haya;
- Vitapata ukungu na madoa meusi
- Vitasinyaa
- haitaiva vizuri
- Vitageuka kuwa vyeusi
- Vitakauka
- Vitaondoa ladha yake ya asili
- kiasi cha sukari kitaongezeka
- Vitaharibika haraka