Epuka kufanya mapenzi bafuni au chooni

Kwa mentality ulizonazo mleta mada inaonekana kuna
siku utakija kusema kuwa tukienda msalani kujisaidia haja
kubwa na ndogo tusivue nguo kwani kuna vitu huko shimoni
vitatuchungulia kunako ""maeneo nyeti"".

Mkuu nadhani mtoa mada kaichimbua hapa.. http://www.spiritualresearchfoundation.org/spiritual-healing/self-healing/salt-water-remedy/
 
Fanya usafi wa choo mkuu. Maana naona hapa umewaza ule uchafu kwenye choo chako. Sisi wengine chooo ni safi sawa na vyumba vingine tu!
 
Hicho ukokiongea science inapingana nacho 100% amasivyo wewe ni mganga wa kienyeji
 
mi nkajua atazngumzia infectious agents!!!!!!! ka ndo ivo mi sielewiiiiiiiiii
 

kwani hao viumbe wasioonekana wanapatikana chooni na bafuni tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…