Epson projector model h249a error "error in auto Iris", naomba msaada

Echolima

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2007
Posts
3,824
Reaction score
2,079
Wadau nina Epson projector ninapoiwasha tu inaniandikia "error in auto Iris"power off and Contact nearest Epson service provider. Nimekaa nayo miaka mitatu sasa bila shida leo hii ndo imeanza mtindo huo,yeyote anaweza kutatua tatizo hili????naomba msaada.By the way.
 
iris ni mboni. kwa maneno mengine jicho lake limemaliza masaa yake ya matumizi. unachotamiwa kufanya ni kununua jicho (lens) lingine
 
Looo!!!!!! mimi nilidhani labda ni vumbi au uchafu wowote uko ndani,pia inawaka vizuri na mwanga bado ni mkali na inaleta hayo maandishi naweza kupata jicho lake wapi???

Mkuu, Lens na Iris ni vitu viwili tofauti vifanyavyo kazi kwa kushirikiana. kununua lens hakutamaliza tatizo. Ufumbuzi ni kushughulika na Auto Iris

Mku, twende PM kama hujapata ufumbuzi.
 
Nimeshakufuata huko kwenye PM tutakutana huko.

Back
Top Bottom