Mchungaji Ritch
Senior Member
- Sep 4, 2010
- 115
- 19
Jipatie Epson printer iliyounganishwa na wino wa nje kwa sh. 300,000/= wahi kabla mzigo haujaisha. Print picha na documents za rangi bila hofu ya gharama za wino.
Hii ni SX 100 baba. Simple printer but powerfull.mkuu ni aina gani hiyo mfano kuna XP 600, PX 660 nk. so hiyo ni aina gani sasa? sema tufanye biashara.
Mkuu Epson sx 100, inatumia cartridge nne tu, ambazo ni Cyan,magenta,yellow na black.pia ni printer ndogo ukilinganisha na px 660 ambayo inatumia cartridge 6.
Hii sx 100 haifai kwenye matumizi ya kibiashara coz iko slow pia quality yake ya picha sio nzuri, jambo jingine upatikanaji wa spair zake ni mgumu. Pia xp 600 sio imara mkuu.labda kwa matumizi ya kawaida tu, sio ya kiashara.
Bora ununue Px 660, px 720, Px 730, L800, au L210. T50, P50, hizi zote mimi naziaminia.