Epson Printer Bei Poa

Mchungaji Ritch

Senior Member
Sep 4, 2010
115
170
Jipatie Epson printer iliyounganishwa na wino wa nje kwa sh. 300,000/= wahi kabla mzigo haujaisha. Print picha na documents za rangi bila hofu ya gharama za wino.
 
madiya85

JF-Expert Member
Mar 5, 2013
282
195
mkuu ni aina gani hiyo mfano kuna XP 600, PX 660 nk. so hiyo ni aina gani sasa? sema tufanye biashara.
 
MIUNDOMBINU

JF-Expert Member
Apr 14, 2010
466
225
Mkuu Epson sx 100, inatumia cartridge nne tu, ambazo ni Cyan,magenta,yellow na black.pia ni printer ndogo ukilinganisha na px 660 ambayo inatumia cartridge 6.

Hii sx 100 haifai kwenye matumizi ya kibiashara coz iko slow pia quality yake ya picha sio nzuri, jambo jingine upatikanaji wa spair zake ni mgumu. Pia xp 600 sio imara mkuu.labda kwa matumizi ya kawaida tu, sio ya kiashara.

Bora ununue Px 660, px 720, Px 730, L800, au L210. T50, P50, hizi zote mimi naziaminia.
 
Ndugu sio kila anaenunua printer ni kwa ajili ya biashara au ku print picha na ndo mana bei yake ni tofauti na ulizoziorodhesha hapa. Kama umemshauri SX100 haimfai kwanini usimpe bei ya ulizomuorodheshea? Kwa mtumiaji wa kawaida wa nyumbani zaidi anataka kuokoa gharama ya wino swala la ku print picha au speed linamuhusu nini. Kama speed ni ndogo mpe speed kubwa ni ipi na ndogo ni ipi ajue bro usipoonde tu kitu kwakuwa umeona tangazo. NAHITAJI PX660 na print head yake. Nipe na bei kabisa mana unasema spea za SX hazipatikani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom