Ikihitajika Epson L220 ambayo iko kwenye hali nzuri kabisa nitaarifu nikuuzie.Habari wadau,
Husika na kichwa hapo juu, mwenye printer aina ya Epson l800 iwe mpya au mtumba iliyo katika hali nzuri naomba aje inbox tufanye biashara ninahitaji.
Wasaalam...!