Ephraim Kibonde vs Mh. John Mnyika

Ephraim Kibonde vs Mh. John Mnyika

kichwat

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
1,819
Reaction score
591
Kuna kijana mmoja pale Clouds FM ambaye kwa mlengo wa maneno ni kama yupo vitani na Mbunge wa Ubungo, Mh. Mnyika. Hii vita itafika mwisho one day
 
weka habari kamili mkuu,hatukupati kabisa mkuu
 
kijana wa clouds hakosi kurusha tuvijembe kimtindo wakati wa kipindi chake cha jioni.
 
nani huyo mkuu,mtaje jina c wengine hatusikilizi wafuuuuuuu fmmmmmm
 
hivi Ephrahim Kibonde ni graduate wa chuo gani?
 
Mi nasikiliza Clouds toka saa 7 na sijasikia Kibonde akimuongelea Mnyika. Acheni kuweweseka nyiee vilaza.
 
Zamani mtu mbumbumbu alikua anaitwa kibonde,,ss mtu mwenye jina hilo anakupa presha gani? He is a trash na kibaraka wa chama cha wapppppzzzzz na kiongoz wao dhaifu.ptuuuuuu!
 
Tuambie kitu alichosema kibonde ili tuweze kuchambua mchele na pumba na tuweke siasa kando.
 
Jamani hii topic ya Kibonde imetoka wapi?????????? tunajua pia yy ni walewale kwahyo tusimpe ujiko bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
bora nikale mudia kuliko kumdiscuss kibonde, yaani huyu jamaa ni wa uongo kinoma, mungu nsaidie nsitoe F * word nkala ban,
 
Back
Top Bottom