Ephraim Kibonde vs Mh. John Mnyika

Kuna kijana mmoja pale Clouds FM ambaye kwa mlengo wa maneno ni kama yupo vitani na Mbunge wa Ubungo, Mh. Mnyika. Hii vita itafika mwisho one day

Kibond kwa Mh. Mnyika ni sawa na kifo na usingizi,kibonde ni kibaraka tu mchumia tumbo hana lolote
 
Kuna kijana mmoja pale Clouds FM ambaye kwa mlengo wa maneno ni kama yupo vitani na Mbunge wa Ubungo, Mh. Mnyika. Hii vita itafika mwisho one day

Mku kiongoz fungukaa vizur tupange makamanda wetu wanchi kavu wa majini n.k
 
Mnapata wapi muda wa kusikiliza hiyo radio station ya kipuuzi??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hii redio clouds/blauzi mfu yani imejaa mambumbula wenye njaa sana tuanze kibonde,b-12(bibi-12),diva(devil),dj-zero/0/tundu,adamu mchomvu(mchovu)n.k,mstaarabu ni millard ayo
 
Back
Top Bottom