Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
Nashindwa kuelewa kwamba Ephrahim Kibonde ana cheo gani ndani ya CCM? Kwa maana kila wanachokisema CHADEMA yeye ndo wa kwanza redioni kukipinga sipokuwa mada za ZITTO. Naombeni mnijuze kwamna Kibonde ana mamlaka gani ndani ya CCM au Serikalini. Kwa maana kama mwandishi wa habari, tena kanjanja, Kibonde angefuata maadili ya uandishi bila kuwa mshabiki. Maneno kama ya wakina kibonde ya uchochezi redioni ndiyo yaliyoleta machafuko nchini Rwanda. Kibonde kulikoni?
Anajipendekeza tu,anadhani atapata ubunge hapo baadae kama Amina Chifupa
Anajipendekeza tu,anadhani atapata ubunge hapo baadae kama Amina Chifupa
Kibonde kweli ni pumba! Lakini kuwa mbunge wa Tanzania mpaka ujue Kingereza katiba ndio inasema hivyo? Hawa ni baadhi ya wabunge hawafahamu Kingereza.Lema, Komba, Sugu, Azzan, Selasini, Mbowe, LukuviUbunge apate kibonde? Jamaa mwenyewe kiingereza chenyewe hajui za kuomba maji na usharobaro wa mjini. Yule jamaa hana kabisa kichwani... hana, niaminie, linajifanya kujua tu. Si unaona mada zake?
Kwa maana kama mwandishi wa habari, tena kanjanja, Kibonde angefuata maadili ya uandishi bila kuwa mshabiki.
ushasema kanjanja unategemea utapata nini kutoka kwake, achana nae.Nashindwa kuelewa kwamba Ephrahim Kibonde ana cheo gani ndani ya CCM? Kwa maana kila wanachokisema CHADEMA yeye ndo wa kwanza redioni kukipinga sipokuwa mada za ZITTO. Naombeni mnijuze kwamna Kibonde ana mamlaka gani ndani ya CCM au Serikalini. Kwa maana kama mwandishi wa habari, tena kanjanja, Kibonde angefuata maadili ya uandishi bila kuwa mshabiki. Maneno kama ya wakina kibonde ya uchochezi redioni ndiyo yaliyoleta machafuko nchini Rwanda. Kibonde kulikoni?
Kibonde kweli ni pumba! Lakini kuwa mbunge wa Tanzania mpaka ujue Kingereza katiba ndio inasema hivyo? Hawa ni baadhi ya wabunge hawafahamu Kingereza.Lema, Komba, Sugu, Azzan, Selasini, Mbowe, Lukuvi