Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 3,280
- 7,684
- Thread starter
-
- #41
Sija kuelewa sababu una fosi watu waishi unavo taka wewe na sio kuheshimu tamaduni na tabia za wengine, mi ni msela, na haya ndo maisha yangu nayo ishi kila siku kosa lipo wapi hapoYah binadamu tunafagilia mizagamuano ila member makini wa JF hawafagilii huu utoto unaofanya.
Nna Imani umenielewa
Ephen β€οΈInasikitisha sana
Ephenβ€οΈπ«©
Ephenβ€οΈ
Hahahaaaaa we jamaa weweπ₯π₯π₯
Kuna mahali umekosea.ningekuonyesha ila acha.endelea mkuuSija kuelewa sababu una fosi watu waishi unavo taka wewe na sio kuheshimu tamaduni na tabia za wengine, mi ni msela, na haya ndo maisha yangu nayo ishi kila siku kosa lipo wapi hapo
Kwa nin mashangazi huwa wanakuita chiwawa?Jamaa bado sana, unatakiwa ukuwe kwanza huwa hatupaparukii manzi kishamba namna hii, anza kuzoeana na member waone kabisa hapa kuna kitu. Sasa wewe unataka tu demu akuelewe na hauna mazoea ya aina yoyote nae? Acha ushamba na hakuna mtu atachukulia bandiko lako kwa makini maana hauna hata swaga kabisa
Usije tena kuniomba ushauri wa kumpata mdogo wangu ephen_
Kuna mahali umekosea.ningekuonyesha ila acha.endelea mkuu
Kawaulize wao ndo wanajuaKwa nin mashangazi huwa wanakuita chiwawa?
ππ Shauri yako, we jiandae tuMara Moja Moja zinapiga.ila zinaambatana na joto kali
Ila mie hisia zangu zinaniambia hakuna el nino
Mbona kama una umia, poleeUtoto Raha sana π