Halisi Bravo
kwa kila kitu. Jambo moja la msingi sasa ni kujua pesa zilizokusanywa zilipo maana hizo dhamana wanazoambiwa waweke zinaweza toka kwenye makusanyo hayo hayo waliyotoa-
So Mwanyika et al, ni wakati sasa wa kuweka repoti ya hadharani waliona nini, nani alipata mgao kiasi gani, amerudisha na kiasi gani, kiasi gani hakijarudishwa.
Rais alisema by last jumamosi habari itakuwa wazi but hadi leo Ijumaa hakuna lolote.... kulikoni Mwanyika na team yakoo:..:::????[/QUOTE]
Pole ndugu yangu kichakoro,
"Just Kidding" hana tabia ya kutimiza yale anayoahidi, at least we have learned that from him for almost his 3 years now.
Katika hatua nyingine, watuhumiwa 10 ambao walifikishwa mahakamani hapo juzi, jana walifikishwa mahakamani hapo kwa ajili ya kukamilisha taratibu za dhamana.
Hata hivyo, mtuhumiwa Johnson Lukaza hakufikishwa mahakamani jana na badala yake wakili wake, Alex Mgongolwa na ndugu zake walifika mahakamani hapo kwa ajili ya kukamilisha taratibu za dhamana.
Baada ya ndugu hao kukamilisha tarartibu hizo, upande wa mashitaka uliandika hati ya kumtoa rumande mtuhumiwa huyo, ili aletwe leo kwa ajili kudhaminiwa.
Kwa hiyo Johnson Lukaza leo atatolewa rumande na kurudi uswahili.
Tutapata tabu sana uswazi na malingo yake huyu dogo.
Bora wangefunga swala la dhamana waendelee kuoza na kukalia ndoo huko gerezani.
As long as legal procedures are being followed, kila mtuhumiwa anastahili dhamana (right?). Kwa mantiki hiyo basi hawa wote bado ni watuhumiwa and kila mmoja wao dhamana yake iko wazi.....
In general nimesoma kwenye print media, na nilichosoma ni kwamba mostly sharti moja kubwa la kupewa dhamana ni kuweka "rehani" NUSU ya pesa anayotuhumiwa kuikwiba, na ukifanya mahesabu ya haraka JL ataweka atatoa approx.. over 3b! na Jeet & Co approx over 10b (I can be corrected), Now if at all these PEOPLE can raise so much for "dhamana" it means they have "SO MUCH" in their "HOUSES". Je kuna utaratibu wa ku-cross check SOURCE ya pesa ya dhamana?
If not, then, the movie will be concluded pale watakapopewa DHAMANA!!!!!
Or, serikali itakuwa imewa-expose (hawa watakaopewa dhamana) into a highest level of in-SECURITY!!!! and this could in extreme end POSE a very high risk to the BEING (or LIFE). I'm not sure no one want to see that!
Jonson Lukaza ndugu zake wana pesa swala la kutolewa sio tabu.
Wewe unasema waachwe gerezani waendelee kukalia ndoo kwa sababu zipi.
Je walivunja benki kuu kwenda kuiba?????????
Je hizo nyaraka feki walizotumia kujipatia fedha benki walipokea vipi wkt ni feki, ina maana serikari yetu sio makini kiasi watu wanaweza kupeleka nyaraka feki na kujipatia mapesa kibao.
Sawa walifanya makosa wakalipa kwa nyaraka feki .
Je ni kundi lote hilo la watu zaidi ya kumi na sita walipeleka nyaraka feki na wakalipwa.
Mimi nadhani kosa ni moja au mawili yanaweza kutokea lakini kwa watu wote hawa NOOOOOOOOOOOO!!!!
Hawa watu hawakuiba hizo fedha na wala hawakupata kwa nnjia ya udanganyifu walipewa na watu fulani fulani.... waanze kushitakiwa hao kwanza.
Waanze na aliyekuwa waziri wa fedha na wafuasi wake wote ndio wafuate hao waliopewa.
Hata mimi kama nipo kijiweni nimepigika maisha magumu anakuja kigogo mmoja serikarini na kunipa deal la majihela yote hayo wala nisingekataa. JELA MATOKEA.
Mchuma janga hula na wakwao!
Huenda kweli atatoka lakini atakuwa kakalia ndoo/mtondoo hadi hiyo tarehe iliyopangwa ambapo labda hao ndugu zake wenye pesa watakidhi masharti ya dhamana.
The bottomline ni kuwa crime does not pay.
Hawakuvunja benki i kweli lakini kula njama si ni kosa? na ni moja ya mashtaka waliyoshatkiwa nayo.Fundisho ni kuwa njia za mkato ni tamu na zinavutia lakini mwishowe kuna kulia pia.
Jonson Lukaza ndugu zake wana pesa swala la kutolewa sio tabu.
Wewe unasema waachwe gerezani waendelee kukalia ndoo kwa sababu zipi.
Je walivunja benki kuu kwenda kuiba?????????
Je hizo nyaraka feki walizotumia kujipatia fedha benki walipokea vipi wkt ni feki, ina maana serikari yetu sio makini kiasi watu wanaweza kupeleka nyaraka feki na kujipatia mapesa kibao.
Sawa walifanya makosa wakalipa kwa nyaraka feki .
Je ni kundi lote hilo la watu zaidi ya kumi na sita walipeleka nyaraka feki na wakalipwa.
Mimi nadhani kosa ni moja au mawili yanaweza kutokea lakini kwa watu wote hawa NOOOOOOOOOOOO!!!!
Hawa watu hawakuiba hizo fedha na wala hawakupata kwa nnjia ya udanganyifu walipewa na watu fulani fulani.... waanze kushitakiwa hao kwanza.
Waanze na aliyekuwa waziri wa fedha na wafuasi wake wote ndio wafuate hao waliopewa.
Hata mimi kama nipo kijiweni nimepigika maisha magumu anakuja kigogo mmoja serikarini na kunipa deal la majihela yote hayo wala nisingekataa. JELA MATOKEA.
Jamani mimi nawasi wasi tayari hawa jamaa wamesha tengenezewa mazingira ya kurudi uswahilini maana wapambe wao wanahaha kukamilisha dhamana zao.Wakitoka kuna kitakacho endelea hapo?
Dhamana ni haki ya kila Raia. Kama sheria zikitumika bila woga, haki itatendeka tu na watakaothibitika kuwa ni wakosaji watafungwa. Uchungu tulionao usitufanye tukikuke misingi ya Haki za Raia. Dhamana ni Haki na acha wapate kama wakitimiza masharti

Mhe. Zitto,
Hivi ni nani amerudisha million 40 za kampuni ya kilimo ya Kagoda,kama ukikumbuka mara ya kwanza tuliambiwa zilitumika wka kazi maalum?au??sasa zimerudi vipi?
Kama ukiweza waambie wakupe list ya watu waliorudisha pesa na je zilipwa katika Account gani ili tuweze kufuatilia.
Au kama zililipwa cash tujue
Dhamana ni haki ya kila Raia. Kama sheria zikitumika bila woga, haki itatendeka tu na watakaothibitika kuwa ni wakosaji watafungwa. Uchungu tulionao usitufanye tukikuke misingi ya Haki za Raia. Dhamana ni Haki na acha wapate kama wakitimiza masharti
Hapa ndipo nafasi ya upinzani inapoonekana. Nafasi ya vyombo vya habari inapoonekana. Kuna haja kubwa sana kuhakikisha kuwa uchaguzi mkuu ujao vyama vya upinzani vinakuwa na angalau theluthi ya wabunge. Hapa nina maana hata CCM ikishindwa uchaguzi ujao, iwe na angalau theluthi ya wabunge ili CHADEMA nayo isibweteke
Mheshimiwa tunashukuru sana kusikia mnafuatilia kwa karibu, maana sisi tusio na access tunasikia kuwa hizo pesa hazijarudishwa ni kiini macho tu, kama ni kweli zimerudishwa that is well and good. Lakini sielewi kwa nini unatarget ya opposition kuwa na theluthi ya viti bungeni, kwa nini msiwe na majority. Mazingira ya sasa yanaonekana wazi kuwa majority wanachemsha na wananchi tuko tayari kwa change, au unataka kutuambia hao jamaa ambao naamini ni vidagaa wakifikishwa mahakamani, majority wenyewe hawata kuwa accountable? Kama nyie wenyewe hamjiamini we will have no choice but to go for CCM majority.
Hapa 'machale' yanaanza kunicheza maana nani alithibitisha kwamba walikwenda Segrea? Kwanini hawajapanda yale mabasi ya Magereza na mahabusu wengine ili wawe mashahidi? Waandishi walioko Dar wafuatilie kwa mahabusu wengine kama waliwaona huko, vinginevyo tujue walifika mahali wakapelekwa Kempisk wakalala usingizi mnonooo!!!!!! na iwe ndio mwisho wa part I ya sinema hiyo ya EPA-Kisutu