Enzii hizooo za "Blue Band"

Enzii hizooo za "Blue Band"

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
306701_153054021498676_1537136586_n.jpg
 
Safi sana hii!
Enzi hizo hii mi niko sec. nilikuwa na mix kwenye MANDONDO aka beans na NGUNGA!
 
hujaweka kitu cha tanbond na kimbo,i wud be happy to get their pictures too
 
aaah mbona juzi tu hapa, weka enzi za mafuta ya VOIL, Tanbond ile ya mwanzo.ushaogea sabuni za mbunju weye, ushapaka mafuta uzuri ya you weye? hahahahaha
 
Back
Top Bottom