Kipindi hiki nilikuwa sijui bei ya sukari, nauli au mafuta kama imepanda ilikuwa ni fulll shangwe! natamani maisha haya yarudi, so natural sasa hivi u-feck mwingi a.k.a uchina au uchakachuaji
View attachment 25699Kipindi hiki nilikuwa sijui bei ya sukari, nauli au mafuta kama imepanda ilikuwa ni fulll shangwe! natamani maisha haya yarudi, so natural sasa hivi u-feck mwingi a.k.a uchina au uchakachuaji
ni kweli enzi hizo hamkujua kama kuna foleni ya ubungo wala mabomu ya 1971!...mi nlikuwa cjazaliwa bado nafahamu tu niliikuta sh.200 ya karatasi ............😛anda:
ni kweli enzi hizo hamkujua kama kuna foleni ya ubungo wala mabomu ya 1971!...mi nlikuwa cjazaliwa bado nafahamu tu niliikuta sh.200 ya karatasi ............😛anda:
Ndo'mjue yakuwa "kiduku" kilianza kitambo, chek flesh huyo dogo wa kati, alafu wimbo unaochezwa ni Prakata Tumba...! Nimependezwa na ki2 kimoja wote nawa afya njema japo dhiki ina2andama.