Enzi za ujahilia, CHADEMA nilipotea

Kujadili cdm ni kupoteza muda maana inajulikana wazi kuwa ni special for kaskazini.mkumbukeni chacha wangwe
 

mkuu acha kupindisha maneno - nazungumzia zile kata 3 chopa 3, nadhani sasa utakuwa umekumbuka baada ya kujitoa ufahamu!
na mbona hizo hadithi za 'mnyang'anyo' hazina uwiano kabisa - kwa nn isiwe nusu kwa nusu, kunyang'anyana gani huko unaambulia 3 mwenzio anazoa 27?!
alafu kama lema ni genious wa siasa tungemjua alipokuwa TLP badala ya kudandia CHADEMA ambayo kwa moshi & arusha ndo ngome kuu (nilimpigia ndesa kura moshi 2010)!!
 
ama kwel ukipenda kipofu utaita chongo....yaani umewekewa hadi picha ya 'aliyekuwa' kamanda lakini bado unabaki kusema alikuwa gamba?!
by the way hata mada za Njano5 za mwanzoni zinathibitisha hivyo, sumbua kichwa kdg usikariri tu kama kasuku!!

Labda awaulize watu JIMBO la ubungo,,,huenda atapata jibu lake....NA BADO.
 
kwaiyo unahisi umetua mzigo? unaburudisha tu kijiwe cha kahawa,ila CDM yatosha!
 
Ulichoandika kinadhalilisha sana jamii yako..kwa kaili yako unadhani umetumia misamiati mizuri sana, ktk ujinga huu. Sijui lini mtakuwa na akili muondoa hizi akili za kigaidi...
 
km ujahilia kk maisha yako na jamii yenu ni karne hii ambayo hata CDM wapo hai ni wazi..mnayo shida sana.
 
Usilazimishe utakavyo ukaskazini ndio cdm kaa tafakari hotuba ya mbunge mmoja alioitoa huko kaskazini.aliposema kaskazini kuna kila kitu hata ikibidi mjitenge mnaweza kuishi
 
Mwaka wa shetani huu........ACT imeshindwa kutake off........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…