Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,249
1. Enzi Zake Hakukua na na Bili ya Umeme, umeme ulikua bure kwa kila raia
2. Kuwa na Nyumba Ilikua Miongoni mwa Haki za Binadamu, Hivyo Kila Maharusi walizawadiwa dola 50,000 (takribani bilioni 1) kwa ajili ya nyumba
3. Elimu na Matibabu ilikua Bureee na kama hukuoata matibabu yalistahili ulikuwa unalipiwa kutibiwa nje adhalika kwa elimu kama hakukua na kozi uliyohitaji ndani ya nchi uilkua unadhaminiwa kusoma nje ambapo pia ulipewa boom kwa ajili ya malazi na usafiri -kila mwanamke aliyejifungua Libya alipata posho ya dola elfu tano sawa na milioni kumi na upasta/ushee za kitanzania
4. Mikopo yote haikua na RIBA
5. Bei ya Lita moja ilikua dola 0.14 sawa na shilingi takribani mia tatu za tanzania na kila raia aliyenunua gari alipewa mafuta bure kwa muda kadhaa kisha ruzuku yake
6. asilimia 25 ya Walibya wote walikua na shahada na iwapo serikali ilishindwa kutoa ajira kwa wahitimu walilipwa posho ya mwezi sawa na stahili ya elimu yao (Hii huitwa Unemployed Benefits)
7 . Gaddafi anakumbukwa kwa mradi mkubwa wa Maji nchini humo ambapo aliweza kuingiza maji jangwani kupitia mto Tegris kwa ajili ya wananchi wake (Man Made Water Project)
8. Umauti wa Gaddafi huenda ulitokana na njozi yake ya kuuunganisha mshikamano wa Afrika ili kuachana na utegemezi
Mwenyezi Mungu Amlaze Mahala Pema Peponi
Mungu IBARIKI AFRIKA