Lazaro Matarange, huyu ndiye Alex Ngusa Matarange. Au mawenge wenge yangu?
Alikuja Radio one, Akawa anatangaza taarifa kwa jina la Alex Ngusa, wakati huohuo anapiga Clouds kwa jina la Alex Matarange.
Siku hizi sijui kapotelea wapi.
Soggy Dog akumbukwe kwa lipi?
Lazaro Matarange, huyu ndiye Alex Ngusa Matarange. Au mawenge wenge yangu?
Alikuja Radio one, Akawa anatangaza taarifa kwa jina la Alex Ngusa, wakati huohuo anapiga Clouds kwa jina la Alex Matarange.
Siku hizi sijui kapotelea wapi.
Joan Itanisa alikuwa msoma ahabari mrembo zaidi afrika mashariki na kati.
Ilikuwa akisoma habari Star TV sielewi kitu mpaka anamaliza, nilikuwa nabarikiwa sana.
Duh. LASONIC, umenikumbusha mbali. Hii redio ilikuwa na sauti kubwa sana lakini bila bezi au bass, niliitumia sana nikiwa shuleni. Tulikuwa tunaiazima kwa mwalimu na kuendesha disco dining hallDJ aliyekuwa anatumia redio KASETI ya LASONIC dabodfka
Ma presenter wengi sana wametimka pale sijui pana issue gani inawafukuzisha
Namkumbuka jackob usungu kwa musiki wa dance wa kitambo wa bongo yu wapi sasa?....
Duh. LASONIC, umenikumbusha mbali. Hii redio ilikuwa na sauti kubwa sana lakini bila bezi au bass, niliitumia sana nikiwa shuleni. Tulikuwa tunaiazima kwa mwalimu na kuendesha disco dining hall