Mbombo Nunu
Member
- Feb 10, 2018
- 92
- 124
[emoji23][emoji23] kabisa aisee.Wapi buku mbili ya enzi za ruksa, Hata kunywea nyagi ilikuwa inatosha, na chenji inarudi. Leo hii toa buku mbili uone kama mada yako haijaamishiwa FORUM la kujichua
We kibokoAisee, sisi tumechelewa sana wenzetu waganda wana 50,000/-, nzuri sana kwa kuhongea, unapiga noti mbili una maliza kazi haupati maumivu ya kuhesabu noti 10 za 10,000/-