Ebana eeeh.... Hapa darasa la kwanza wanafundishwa kusoma na udini nao elements za udini zinaangamizwa. Hii ndo elimu iliyokuwa na vision na mision. Kumbe familia moja inaweza kuwa na watoto Juma, Roza, Fatuma, Johnson, Asnat, Hun Cho, Musharaf n.k na maisha yakawa poa kabisa. Mwalimu nomaaa!