The August
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,080
- 2,024
Utamu wa mechi ya watani watangazaji Ahmed Jongo na omary Kipozi
Kwenye OB van unamkuta Noel Namaloe
Wadhamini wetu "Revola"
Tutajie wahenga!!Bila kumsahau Ezekiel Malongo
Usimba ulikua unamzidi... Anashindwa fichaNakumbuka Juma Nkamia alikia akitangaza mechi ya Simba na Yanga anajisahau anasema..
Sisi 2 Yanga 0
Utamu wa mechi ya watani watangazaji Ahmed Jongo na omary Kipozi
Kwenye OB van unamkuta Noel Namaloe
Wadhamini wetu "Revola"
Hivi kisa cha saidi mwamba ni kweli?Bila kumsahau Ezekiel Malongo
Said alikuwa anaujua mpiraHivi kisa cha saidi mwamba ni kweli?
Na ni kweli alikua akitokea kupiga kinywaji na kuingia uwanjani?Said alikuwa anaujua mpira
Kuna mechi moja ya ndondo enzi za viwanja vya jangwani iliingia akiwa mtungi na alifunga goli la kichwaHivi kisa cha saidi mwamba ni kweli?
Kinywaji kwa muislam si kitu cha kukishuhudia mwezi mtukufu shehe!Na ni kweli alikua akitokea kupiga kinywaji na kuingia uwanjani?
Ok mkuu. Nimekuelewa!Kinywaji kwa muislam si kitu cha kukishuhudia mwezi mtukufu shehe!
''Wapenzi wasikilizaji tunajiunga moja kwa moja na watangazaji wetu walioko uwanja wa Taifa! Watangazaji wetu huko ni Charles Hilali na Ahmed Jongo''! Daah kitambo sana, ilikuwa burudani kuliko laivu ya Baraka Mpenja!
1996-1999 enzi za betri za NATIONAL kwenye radio ama kweli wahenga uhengani.....Kiberiti bora cha KANGAROO kimethibishwa hapa Tanzania na makasha yake yamejaa kabisa .....
Hiyo ni mwaka ya 199