Enzi za BABU DC Dark City!

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,377
Reaction score
3,394



Babu DC Dark City, halafu uje hapa ubishe kama hujawahi kufanya hivi wakati ulipokuwa ukisoma kule KANTALAMBA
 



Babu DC Dark City, halafu uje hapa ubishe kama hujawahi kufanya hivi wakati ulipokuwa ukisoma kule KANTALAMBA

Haya mbona ya juzi juzi tu.....

Wenzio tulikuwa tunatumia miswaki ya mti...Halafu J'tatu tunakenua meno ili mwalimu atukague...Wakati huo baridi inakata kama kisu...lol!!

Na kuna kipindi baada ya vita ya Nduli Idd Amini tulikuwa tunafulia majani ya mipapai au majivu...Tunakula chakula bila chumvi...... Na sukari ilikuwa kama diamond... Kwa miaka yangu yote ya O'level, sikuwahi kunywa chai au uji uliotiwa sukari!!


Wakati tumekuwa watu wazima, vijana wakaaza kutesa na VIP, Gift of Zanzibar na YU for men!!

Kweli 1947 ilikuwa na raha zake wallah!!
 
Teh teh teh. Babu usingenistua hili lingenipita


Unajua nini mdogo wangu...enzi zetu watu walikuwa very creative na hawakuwa wabinafsi sana kama siku hizi!!

They share almost everything...can you believe, Museven's tribe in Uganda were even sharing their spouses!!

An incredibly high level of humility!!
 
Teh teh teeeh. Nimecheka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…