Enzi ya kuzamia video kwa jirani

Tausi ndege wangu , ndege wangu wa fahari hivi mjuba yupo nimesaga sana miguu kwenda mtaa wa saba kuangalia hii kitu aisee

Tausi ndege wangu, ndege wangu wa fahari
Ndege umeleta mambo sasa wataka nini?
Wapita watu wawili wameleta uramali sasa tuko mbalimbali...!!
 
Mambo hayo,mama bishanga,au ule mchezo wa kina Jengua,tabia na wenzao
 
Mi nakumbuka kijijini kulikua na mzee mmoja ndo alikua na TV wanawake wanaangalia taarabu ikifika saa 8 marudio yanaanza mnakua pale hadi saa 11
 
Nakumbuka kuna lijamaa jirani yetu lilitufukuza kwao alfajir tulidamka kuwah pambano la Tyson na Seldon, ikabid twende mtaa wa tatu dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…