Enzi ya enzi: zimebaki story

nakumbuku siku nilipoenda kutoa posa ndio nililipa hayo manoti.
 
huyo mzee kwenye picha ya kwanza aliuza hiko kiwanda kwenye picha ya pili kwa bei iliyoandikwa hapo.
 
Hamsini imeshapotea.bado mia ambayo imekuwa kikwangulia vocha

mkuu acha hizoo unaishi wapi wewe?? ungenambia sh 20 na sh 10 hapo sawa lkn sio 100 na 50 mbona kila siku mm nakutana nazo kwenye daladala?? na madukani nazitumia kama kawaida??

ungenambia mia tano ya sarafu hapo sawa
 
Hiyo elfu kumi blue ilikuwa bomba sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…