Nakumbuka siku moja nikiwa o-level form 1 kibaha sec,si unajua ule utaratibu wa misosi,watu kadhaa mnaunda kikosi,maybe watu 13 mnakuwa na dishi lenu moja la ugali/wali na moja la mboga.Ugumu ulikuwa unatokea ikifika zamu yako,unafuata msosi jikoni,unagawa kwa wenzio na kuosha madishi na kuyarudisha jikoni.siku moja jamaa alipojua ni zamu yake akaamua kutokuja kabisa.Tulikuwa form one 5,form two 4 na form four 2.Form four mmoja akashauri form one(nyoya,salamanda,nyoka) mmoja ajitolee lakini tuligoma wote.Wale form iv walijitolea ku-save msosi,ila walichofanya sitasahau.Waligawana msosi wao wawili wakatosheka,baada ya hapo walimwaga wali wote uliobaki chini na mchuzi wakaugeuza maji ya kunawa,kiufupi tulipigwa dash.Dah!vp wewe ulipokuwa form one,tupe kisanga kilichokukuta!
ahahahaah!! Bora sisi seminarini hakukuwa na ubabe wa namna hii!Me niliambiwa nenda bweni(jina kapuni) ukwamuulizie jamaa anaitwa Bunsen burner!!! LOH! Nilipofika hapo bwenini jamaa wanistukia kuwa
nimeingizwa mkenge nao wakanambia ametoka nimsubiri kama dakika sita hivi atarudi!! ndugu niliuza chai mpaka nikakoma, baadae ndo
wakanielewesha.. nilimind we acha tu.
we acha tu na hii iliwapata jamaa zangu:ahahahaah!! Bora sisi seminarini hakukuwa na ubabe wa namna hii!
dah issue kama hii tushafanyiwa na msukuma mmoja(maduhu jilili),tena ilikuwa siku ya sikukuu,jamaa ali sepa na pilau lote,mayai,matunda na nyama za vyuku zooote!Umenikumbusha issue kama hiyo ilitokea wakati niko sec., jamaa alivyokwenda kuchukua dishi la wali akatoka nalo mlango mwingine na kukimbilia bwenini ambako alishawapanga washikaji zake, tukabaki tumezubaa, huyu jamaa alikuwa Msukuma alikuwa amepanda na amejaza(miraba minne)ilibidi tuufyate, bahati nzuri wenzetu walituonea huruma wakatuchangia wali kidogokidogo
dah issue kama hii tushafanyiwa na msukuma mmoja(maduhu jilili),tena ilikuwa siku ya sikukuu,jamaa ali sepa na pilau lote,mayai,matunda na nyama za vyuku zooote!
Me niliambiwa nenda bweni(jina kapuni) ukwamuulizie jamaa anaitwa Bunsen burner!!! LOH! Nilipofika hapo bwenini jamaa wanistukia kuwa
nimeingizwa mkenge nao wakanambia ametoka nimsubiri kama dakika sita hivi atarudi!! ndugu niliuza chai mpaka nikakoma, baadae ndo
wakanielewesha.. nilimind we acha tu.
ahahaha! habar yako bana....salaam zao kwa njeka kiongoziKwa wale waliosoma tanga tech kwa kamanda TETI the headmaster,mi nilisoma advance pale nikiishi bweni la TWIGA.Nakumbuka zile siku za wali a.k.a punje a.k.a chakula cha binadamu tulikuwa tunajiandaa kama unakwenda vitani,unapiga raba,jeans na t-shirt then unajipanga kwa foleni.Mgawaji anapokugawia,huangalii sahani,unamuangalia usoni kwa jazba yaani shari tupu.
Kwanjeka noma,kuna mother mmoja tulimkamata mwanae kwa wizi wa viatu,alipotonywa kuhusu mwanae kukamatwa na wanafunzi,alikuja mkuku na kuanza kuvua nguo moja baada ya nyingine,wote tulitoka nduki tukamwacha yeye na mwanae.ahahaha! habar yako bana....salaam zao kwa njeka kiongozi