Enzi Hizoooo

Enzi Hizoooo

Ishmael

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
15,039
Reaction score
6,018
CF2QWqAUMAAoXiT.jpg


Ndugu Jakaya Kikwete na Abdulrahman Kinana, siku ya kuhitimisha na kustaafu rasmi utumishi wao kwa JWTZ, Oktoba 1992.
 
Aisee,maswaiba kitamboo,majina ya vyeo vyao kijeshi vinaitwaje?..
 
Bora wangebaki huko huko tu jeshini,mana kuja kwao ktk siasa kumeliletea taifa letu dhahama kubwa ya ufisadi na ujangili wa kutisha.
 
Ni picha nzuri sana ya kumbukumbu ikionesha Colonel Abdulrahman Kinana na Lieutinant Colonel Jakaya Kikwete kuwa wamewahi kulitumikia Jeshi la Wananchi Tanzania.
 
Hahaa,luten col kinana.mbona huwavhakitajwi cheo chake au kwavile hakustaafu!!!!!
 
Bora wangebaki huko huko tu jeshini,mana kuja kwao ktk siasa kumeliletea taifa letu dhahama kubwa ya ufisadi na ujangili wa kutisha.
Kwanini, maana sasa wapo kwenye Siasa.
 
" It did not matter what you, but who you know" Chinua Achebe
 
Back
Top Bottom