Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,625 Reaction score 38,751 May 28, 2017 #1 [emoji23][emoji23][emoji23] *Ushawahi fanya mtihani halafu msimamizi kasimama sana nyuma yako akiangalia unachoandika kisha unamsikia akitangaza "jamani hakikisheni mnasoma vizuri maswali"[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]*
[emoji23][emoji23][emoji23] *Ushawahi fanya mtihani halafu msimamizi kasimama sana nyuma yako akiangalia unachoandika kisha unamsikia akitangaza "jamani hakikisheni mnasoma vizuri maswali"[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]*
BIGstallion JF-Expert Member Joined Sep 13, 2016 Posts 6,324 Reaction score 7,930 May 28, 2017 #2 [emoji15][emoji23][emoji23]
M mojave JF-Expert Member Joined Apr 30, 2016 Posts 5,560 Reaction score 6,445 May 28, 2017 #3 hazard cfc said: [emoji23][emoji23][emoji23] *Ushawahi fanya mtihani halafu msimamizi kasimama sana nyuma yako akiangalia unachoandika kisha unamsikia akitangaza "jamani hakikisheni mnasoma vizuri maswali"[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]* Click to expand... Hahaha
hazard cfc said: [emoji23][emoji23][emoji23] *Ushawahi fanya mtihani halafu msimamizi kasimama sana nyuma yako akiangalia unachoandika kisha unamsikia akitangaza "jamani hakikisheni mnasoma vizuri maswali"[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]* Click to expand... Hahaha
Alisina JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 4,287 Reaction score 4,626 May 28, 2017 #4 hazard cfc said: [emoji23][emoji23][emoji23] *Ushawahi fanya mtihani halafu msimamizi kasimama sana nyuma yako akiangalia unachoandika kisha unamsikia akitangaza "jamani hakikisheni mnasoma vizuri maswali"[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]* Click to expand... Hehehe!! Mimi maranyingi nilikuwa nawapiga chenga nikimuona kasogea nyuma yangu,,,nafunika karatasi ya majibu kisha naweka juu karatasi ya maswali nakujifanya nasoma maswali kwa Umakini. Hii tabia ya wasimamizi wa mitihani nilikuwa siipendi.
hazard cfc said: [emoji23][emoji23][emoji23] *Ushawahi fanya mtihani halafu msimamizi kasimama sana nyuma yako akiangalia unachoandika kisha unamsikia akitangaza "jamani hakikisheni mnasoma vizuri maswali"[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]* Click to expand... Hehehe!! Mimi maranyingi nilikuwa nawapiga chenga nikimuona kasogea nyuma yangu,,,nafunika karatasi ya majibu kisha naweka juu karatasi ya maswali nakujifanya nasoma maswali kwa Umakini. Hii tabia ya wasimamizi wa mitihani nilikuwa siipendi.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 May 28, 2017 #5 Mimi sijawahi kusimamiwa nyuma